Al Sudani afanya mazungumzo na mrithi wa kiti cha ufalme wa Kuwait
Waziri Mkuu wa Iraq amekutana na kufanya mazungumzo na mrithi wa kiti cha ufalme wa Kuwait na kusisitiza juu ya ulazima wa kuimarisha uhusiano kati ya nchi mbili. Waziri Mkuu wa Iraq Mohammad Shia Al Sudani pamoja na ujumbe wake alioambatana nao huko Kuwait jana Jumatano walilakiwa katika ikulu ya al Bayan nchini humo na…
Kuwait: Israel inapaswa kuweka vituo vyake vya nyuklia chini ya usimamizi wa IAEA
Kwa mara nyingine tena Kuwait imeutaka utawala haramu wa Israel ujiunge na Mkataba wa Kuzuia Usambazaji wa Silaha za Nyuklia (NPT) na kuweka vituo vyake vyote vya nyuklia chini ya mfumo wa usimamizi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA). Katika taarifa iliyowasilishwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, serikali ya Kuwait imeeleza dhamira…
Athari za mashambulio ya Yemen zinaendelea, Wakuwait wakatazwa kutumia drone Imarati
Athari za mashambulio ya kulipiza kisasi na ya kujihami ya wananchi wa Yemen dhidi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) bado zingalipo na sasa serikali ya Kuwait imewataka wananchi wake wasitumie ndege yoyote isiyo na rubani wanapokuwa nchini Imarati, ili wasije wakajiingiza kwenye matatizo. Baada ya Umoja wa Falme za Kiarabu kufanya jinai kubwa…
Kuwait: Tutaendelea kuisusia Israeli na makampuni yanayoshirikiana nayo
Kuwait imetangaza kuwa itaendelea kuisusia Israel, bidhaa zake na makampuni yanayoshirikiana nayo. Hayo yametangazwa katika Mkutano wa Maafisa wa Ofisi za Kikanda za Kuisusia Israel. Shirika la Habari la Kuwait (KUNA) lilimnukuu mwakilishi wa Kuwait katika mkutano huo, Mashari Al-Jarallah, akisema, “Bidhaa zote ambazo zinashukiwa kuwa za Israeli au za kampuni zilizopigwa marufuku, zinachukuliwa hatua…