Jarida mashuhuri la masuala ya tiba na afya la The Lancet limesema virusi hatari vya Corona ambavyo vimeshaua mamilioni ya watu kote duniani vilizalishwa kwenye maabara, na wala havikuanza tu peke yake. Jeffrey Sachs, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Covid-19 katika shirika la Lancet amesema, “Kwa mtazamo wangu, Covid-19 haikutoka katika hifadhi fulani asilia, bali ilitoka…