Bunge la Lebanon lakwama kwa mara ya 11 kumchagua Rais mpya
Bunge la Lebanon jana lilikwama tena kumchagua Rais mpya wa nchi hiyo na kupelekea mkwamo wa kumchagua kiongozi wa juu zaidi nchini humo kuendelea kushuhudiwa. Hadi sasa, vimeshaitishwa vikao kumi vya bunge la Lebanon kwa shabaha ya kumchagua rais mpya wa nchi hiyo lakini hadi sasa hakuna natija iliyopatikana. Katika kikao kingine kilichofanya jana Alkhamisi,…
Lebanon yapongeza misaada, uungaji mkono wa Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon, Abdullah Bou Habib amesifu na kupongeza misaada na uungaji mkono wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa taifa hilo la Kiarabu. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Beirut Ijumaa akiwa pamoja na Hossein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abdullah Bou Habib amesema Lebanon inakaribisha na kuunga…
Hizbullah yahimiza kuchaguliwa rais mpya wa Lebanon haraka iwezekanavyo
Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Shekhe Naeem Qassim ametilia mkazo ulazima wa kuchaguliwa rais mpya wa nchi hiyo haraka iwezekanavyo. Katika ujumbe aliotuma kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter, Shekhe Naeem Qassim amesema: “katika kipindi hiki, sisi ndani ya Hizbullah tunatilia mkazo masuala mawili makuu na muhimu; la kwanza ni kwamba rais achaguliwe…
Kwa mara ya tisa, bunge la Lebanon lashindwa kumchagua rais mpya
Jaribio la tisa la Bunge la Lebanon kumchagua rais mpya wa nchi hiyo limegonga mwamba. Hadi sasa, vimeshafanyika vikao vinane vya bunge la Lebanon kwa lengo la kumchagua rais mpya wa nchi hiyo lakini hakuna tija iliyopatikana. Katika kikao kingine walichofanya jana Alkhamisi, wabunge wa Lebanon walishindwa kwa mara ya tisa kumchagua rais mpya wa nchi…
Waziri wa Lebanon asusia jopokazi la Uholanzi kwa kuwemo humo Mzayuni
Waziri wa Utamaduni wa Lebanon ametangaza kuwa atajiondoa katika jopokazi la ushirikiano baina ya Lebanon na Uholanzi kutokana na kuwemo humo mkurugenzi wa makumbusho ya utawala wa Kizayuni. Shirika la habari la IRNA limeripoti habari hiyo kumnukuu Mohammed Wassam Al-Mortaza, Waziri wa Utamaduni wa Lebanon, akisema hayo jana Jumanne kwamba Lebanon imetia saini makubaliano na…
Sheikh Naim Qassim: Daima Marekani imekuwa ikifuatilia kuzusha machafuko Lebanon
Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani daima imekuwa ikifutilia kuzusha vurugu na machafuko nchinii Lebanon. Samahat Sheikh Sheikh Naim Qassim, Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ameeleza kuwa, hii leo Marekani inaunga mkono utawala ghasibu…
Hizbullah: Saudia na Marekani zinakwamisha uchaguzi wa Rais wa Lebanon
Afisa mwandamizi wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema balozi za Saudi Arabia na Marekani jijini Beirut zimekula njama na kuweka vizingiti vya kila aina ili kukwamisha uchaguzi wa rais, huku ikiwa imesalia wiki moja tu kabla ya kumalizika muhula wa Rais Michel Aoun wa nchi hiyo. Sheikh Nabil Qaouk, Naibu Mkuu wa…
Nasrullah: Macho na makombora yetu yameelekezwa kwenye medani ya gesi ya Karish
Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah, amesema leo Jumamosi kwamba macho na makombora ya harakati hiyo yameelekezwa kwenye medani ya gesi ya Karish, ambao inazozaniwa baina ya Lebanon na utawala haramu wa Israel. Sayyid Nasrullah amesema katika hotuba yake kwa njia ya televisheni kuwa “haiwezekani kuruhusu uchimbaji wa mafuta na gesi…