#london

Maelfu waandamana Uingereza kulaani mauaji ya raia mweusi

Maelfu waandamana Uingereza kulaani mauaji ya raia mweusi

Maelfu ya watu wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Uingereza, London kulaani mauaji ya mtu mmoja mwenye asili ya Afrika yaliyofanywa na askari polisi wa nchi hiyo. Waandamanaji hao wamekusanyika katika Medani ya Bunge kabla ya kuandamana katika barabara ya Whitehall katikati ya London, na kisha wakakusanyika katika ofisi za shirika la ujasusi la Scotland Yard….