Watanzania wanakabiliana na nyakati ngumu kutokana na bei ya mafuta kupanda nchini kote kuanzia leo Jumatano, licha ya ruzuku ya serikali. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa zimepanda hadi kiwango ambacho hakijawahi kurekodiwa katika soko la ndani. Kuanzia…
Dar es Salaam. Bei ya mafuta imepanda tena mwezi huu na kuivuka ile ya Mei, iliyokuwa kubwa zaidi katika historia ya Tanzania kiasi cha kuilazimu Serikali kutoa ruzuku. Mei, bei ya petroli ilifika Sh3,148 jijini Dar es Salaam ikipanda kwa Sh287 kutoka Aprili kwa kila lita moja huku dizeli ikipanda kwa Sh566 kutoka Sh2,692 hadi Sh3,258…
SERIKALI imetenga Sh34,446,813,295 katika bajeti ya ziada ya mwaka huu katika mpango wa kupunguza bei ya mafuta ili kukinga Wakenya kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta. Hii ni baada ya Rais Uhuru Kenyatta Jumatatu, Aprili 5, 2022, kutia saini Mswada wa Bajeti ya Ziada uliopitishwa bungeni wiki jana. Hatua hiyo itatoa afueni kwa waendeshaji…