#maji

Rais Samia: Tatizo la maji kumalizika 2025

Rais Samia: Tatizo la maji kumalizika 2025

Chunya. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuboresha huduma za afya na maji katika maeneo mbalimbali nchini. Amesema anatambua matatizo yanayowakabili kina mama kutembea umbali mrefu kufuata huduma hiyo muhimu hivyo Serikali itahahakikisha mpaka kufikia mwaka 2025 tatizo la maji nchini linakuwa limekwisha. Rais Samia ameyasema hayo leo Jumamosi, Agosti 6, 2022 wakati…

Sh 2.2 bilioni kumaliza tatizo la maji Buza

Sh 2.2 bilioni kumaliza tatizo la maji Buza

Dar es Salaam. Kukamilika kwa mradi wa maji wa Jet Buza kunamaliza kilio cha muda mrefu cha wakazi wa kata hiyo na maeneo jirani  wakitarajia kuachana na utegemezi wa maji ya visima. Mhandisi Sijapata Athuman wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira(Dawasa) ambao ndio watekelezaji wa mradi huo amesema sasa wakazi wa Buza watakuwa na…