#Majisafi

Waziri Aweso akemea ubambikaji ankara za maji

Waziri Aweso akemea ubambikaji ankara za maji

Arusha. Wenyeviti wa Bodi za Maji nchini wametakiwa kudhibiti na kuhakikisha wanasimamia mamlaka za maji ili wananchi wasibambikiwe ankara za maji ambazo zimekuwa zikilalamikiwa na baadhi ya wananchi. Agizo hilo limetolewa leo Juni 29, 2022 na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akifungua mafunzo ya siku tatu ya Bodi na Menejimenti za Mamlaka za Majisafi na Usafi…