#makka

Kutoa sadaka kila kitu ulicho nacho kwa ajili ya kumpenda Mwenyezi Mungu ni dhabihu:Allama Syed Jawad Naqvi

Kutoa sadaka kila kitu ulicho nacho kwa ajili ya kumpenda Mwenyezi Mungu ni dhabihu:Allama Syed Jawad Naqvi

Eid Al Adha – 10th July 2022  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi  (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan   Hotuba ya 1: Kutoa sadaka kila kitu ulicho nacho kwa ajili ya kumpenda Mwenyezi Mungu ni dhabihu Taqwa ni kinga kutoka kwa Mwenyezi Mungu ambayo…

Ibada ya Hija yaanza katika Mji Mtakatifu wa Makka

Ibada ya Hija yaanza katika Mji Mtakatifu wa Makka

Ibada ya kila mwaka ya Hija imeanza rasmi leo Alhamisi katika mji mtakatifu wa Makka, ikiashiria hatua kubwa kuelekea hali ya kawaida baada ya miaka miwili ya janga la corona ambapo idadi ya Mahujaji ilipunguzwa sana. Waislamu milioni moja leo wamekusanyika katika mji mtakatifu Makka  nchini Saudi Arabia kwa ajili ya Hija. Idadi hii bado…

Iran yakamilisha oparesheni ya kuwatuma waumini kwenda Hija

Iran yakamilisha oparesheni ya kuwatuma waumini kwenda Hija

Mkuu wa oparesheni ya kuwabeba Wairani wanaoenda kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu amesema oparesheni hiyo inakamilika usiku wa leo. Gholareza Rostamian mkuu wa oparesheni ya Hija katika viwanja vya ndege vya Iran ametoa taarifa kuhusu mchakato mzima wa kuwabeba Mahujaji kuelekea Saudia na kusema: “Tokea tuanzishe oparesheni ya kuwabebe waumini kuekelea Hija, hadi sasa…

Yemen yalalamikia vikwazo vya Riyadh dhidi ya mahujaji wa Yemen

Yemen yalalamikia vikwazo vya Riyadh dhidi ya mahujaji wa Yemen

Afisa wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amepinga masharti na vikwazo ambavyo Saudi Arabia imewawekea mahujaji wa Yemen. Ripoti zinasema kuwa, askari usalama wa Saudia wamekamata mahujaji kadhaa kutoka nchi kama vile Misri, Libya, Yemen na Syria katika ibada ya Hija ya mwaka huu huko katika ardhi tukufu ya Makka. Kwa mujibu wa shirika…

Wanaokwenda hijja kuchanjwa tena Uviko-19

Wanaokwenda hijja kuchanjwa tena Uviko-19

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limesema waliochanjwa chanjo ya Uviko-19 mwaka mmoja au miaka miwili iliyopita hawataruhusiwa kwenda hijja hadi watakaporudia kuchanja chanjo hiyo. Kauli hiyo imetolewa leo Jumamosi Juni 24,2022 na Mkurugenzi wa Hija wa Bakwata, Alhaj Haidari Kambwili, katika semina ya mahujaji inayofanyika ofisi za Makao Makuu ya Bakwata jijini Dar es…

Saudi Arabia yaondoa sharti la kuvaa barakoa ndani ya msikiti mtukufu wa makka

Saudi Arabia yaondoa sharti la kuvaa barakoa ndani ya msikiti mtukufu wa makka

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudia iliondoa sharti la matumizi ya barakoa katika maeneo yenye msongamano wa wtu wengi isipokua ndani ya Masjid al-Haram na Masjid al-Nabi. Shirika rasmi la habari la Saudi Arabia ‘Wass’ limemnukuu afisa mmoja katika Wizara ya Mambo ya Ndani akisema kuwa vikwazo vingine vya kujikinga dhidi ya ugonjwa huo…