#mali

Mahakama ya Mali yamhukumu kifo mtu mmoja kwa vifo vya askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa

Mahakama ya Mali yamhukumu kifo mtu mmoja kwa vifo vya askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa

Mahakama nchini Mali imemhukumu kifo mwanaume mmoja kwa kuhusika katika shambulio mwaka 2019 lililouwa wanajeshi watatu wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa. Hayo yameelezwa na kikosi cha kulinda amani cha UN nchini Mali (MINUSMA) Mali ambayo inaongozwa na serikali ya kijeshi kwa muongo sasa imekuwa ikipambana na hali ya mchafukoge inayosababishwa na makundi yanayobeba…

Mashirika yenye uhusiano na Ufaransa yapigwa marufuku kuendesha shughuli zao Mali

Mashirika yenye uhusiano na Ufaransa yapigwa marufuku kuendesha shughuli zao Mali

Baraza la Kijeshi la Mali limepiga marufuku shughuli zozote za mashirika yasiyo ya kiserikali ambayo yanafadhiliwa kifedha na Ufaransa. Katika taarifa iliyochapishwa kwenye mitandao ya kijamii, Abdullah Maygan, Waziri Mkuu wa serikali ya mpito na ya kijeshi ya Mali, ametangaza kuwa: ni marufuku kwa mashirika yote yasiyo ya kiserikali (NGOs) nchini Mali, ambayo yanafadhiliwa na…

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran awasali nchini Mali na kuonana na wenyeji wake

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran awasali nchini Mali na kuonana na wenyeji wake

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anaendelea na ziara yake ya kuzitembelea nchi za Afrika na tayari ameanza mazungumzo na viongozi wa Mali akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika. Hossein Amir-Abdollahian ameandamana na ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi wa…

Mali yasema Ufaransa inasaidia magaidi, yaitisha kikao Baraza la Usalama

Mali yasema Ufaransa inasaidia magaidi, yaitisha kikao Baraza la Usalama

Mali imeliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kufanya mkutano wa dharura ili kusitisha kile inachokitaja kuwa ni “vitendo vya uchokozi” vinavyofanywa na Ufaransa kwa kukiuka mamlaka yake, kuunga mkono makundi ya magaidi wakufurishaji na ujasusi. Barua iliwasilishwa kwa waandishi wa habari na Wizara ya Mambo ya Nje ya Mali siku ya Jumatano baada…

Wanajeshi wa mwisho wa Ufaransa waondoka Mali

Wanajeshi wa mwisho wa Ufaransa waondoka Mali

Mabaki ya wanajeshi wa Ufaransa waliondoka nchini Mali jana Jumatatu, kuashiria mwisho wa Operesheni ya Barkhane katika nchi hiyo ya eneo la Sahel barani Afrika. Taarifa ya Vikosi vya Jeshi la Ufaransa imesema, askari wa mwisho wa kikosi cha Barkhane waliokuwa katika ardhi ya Mali wameondoka na kuvuka mpaka baina ya nchi hiyo na Niger….

Mali imeitaka Ufaransa kuwaondoa askari wake walioko nchini haraka iwezekanavyo

Mali imeitaka Ufaransa kuwaondoa askari wake walioko nchini haraka iwezekanavyo

Serikali ya mpito ya Mali imeitaka Ufaransa kuwaondoa bila kuchelewa askari wake wa operesheni Barkhane na Takuba nchini Mali. Takwa hilo la Mali linakuja masaa machache tu baada ya tangazo la Rais Emmanuel Macron na washirika wake la kuwaondoa askari wa nchi zao kutoka Mali katika miezi michache ijayo. Akitangaza uamuzi huo kupitia televisheni ya…

Waziri Mkuu wa Mali alalamika dhidi ya uungaji mkono wa Ufaransa kwa magenge ya kigaidi

Waziri Mkuu wa Mali alalamika dhidi ya uungaji mkono wa Ufaransa kwa magenge ya kigaidi

Waziri Mkuu wa Mali, Choguel Kokalla Maiga, ameishutumu serikali ya kikoloni ya Ufaransa kwa vitendo vyake vilivyo dhidi ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika na kusema kuwa, Wafaransa walipaswa kutusaidia, lakini badala yake wanayasaidia magenge ya kigaidi yanayopigania kujitenga na wanazichochea nchi za Ulaya ziiwekee vikwazo nchi ya Mali. Ameishutumu vikali Ufaransa kwa kutoheshimu makubaliano…

Mali yataka mkataba wa ushirikiano wake na Ufaransa wa kijeshi na kiulinzi upitiwe upya

Mali yataka mkataba wa ushirikiano wake na Ufaransa wa kijeshi na kiulinzi upitiwe upya

Serikali ya Mali inapanga kupitia upya mkataba wa ushirikiano wa kijeshi na kiulinzi kati yake na Ufaransa. Mkataba huo kati ya nchi hizo mbili ulitiwa saini mwaka 2014 na kuanzisha operesheni Barkhane ili kuisaidia Mali kupambana na makundi ya kigaidi. Mnamo mwezi uliopita wa Desemba Paris na Bamako zilikuwa zimekubaliana kuongeza muda wa mkataba huo kwa…