#marekani

Kuendelea wizi na uharamia wa Marekani wa kuiba mafuta ya Syria

Kuendelea wizi na uharamia wa Marekani wa kuiba mafuta ya Syria

Wizi na usafirishaji kimagendo mafuta ya Syria ungali unaendelea kufanywa na wanajeshi wa Marekani na wanamgambo wenye mfungamano nao katika ardhi ya nchi hiyo. Tangu mwaka 2011, wakati Syria ilipolazimishwa kuingia kwenye vita vya kupambana na magaidi, mbali na Marekani kuyaunga mkono baadhi ya makundi ya magaidi hao imekuwa ikilipa kipaumbele pia suala la uporaji wa…

Wazayuni wajuta kumshinikiza Trump ajitoe katika makubaliano ya nyuklia JCPOA mwaka 2018

Wazayuni wajuta kumshinikiza Trump ajitoe katika makubaliano ya nyuklia JCPOA mwaka 2018

Wakuu wa masuala ya usalama wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wameonyesha majuto kwa hatua ya utawala huo ya kumshinikiza rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ajitoe kwenye makubaliano ya nyuklia JCPOA mwaka 2018. Ripoti iliyotolewa na chaneli ya televisheni ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya KAN 11 kuhusu mazungumzo yanayohusiana na makubaliano ya…

Russia: Tutazipiga na chini sarafu za dola na euro kwa kushirikiana na waitifaki wetu

Russia: Tutazipiga na chini sarafu za dola na euro kwa kushirikiana na waitifaki wetu

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, Moscow inaimarisha ushirikiano wake wa kiuchumi na nchi marafiki zake na kwamba ina uhakika kwa ushirikiano huo itaweza kuziangusha sarafu za dola na euro kwani sarafu hizo ni sumu. Kwa mujibu wa ripoti ya leo Jumamosi ya shirika la habari la IRNA, Alexander Pankin amesema hayo…

Kiwewe cha Marekani kwa kuzidi kuongezeka nguvu za China

Kiwewe cha Marekani kwa kuzidi kuongezeka nguvu za China

Marekani ambayo imeingia kiwewe kutokana na kuzidi kuongezeka nguvu za China, imeahidi kuchukua hatua za kukabiliana na Beijing katika kipindi cha wiki na miezi ijayo karibu na kisiwa cha Taiwan, kwa tamaa ya kupunguza kasi ya nguvu za kijeshi na kiuchumi za China. Edward “Ned” Price, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani…

Yemen yaonya kuhusu harakati za kutia shaka za askari wa US, Ufaransa

Yemen yaonya kuhusu harakati za kutia shaka za askari wa US, Ufaransa

Bunge la Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen limetadharisha kuhusu harakati na nyendo za kutiliwa shaka za wanajeshi wa Marekani na Ufaransa katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu. Katika taarifa, Bodi ya Uongozi ya Bunge la Yemen imesema harakati hizo za wanajeshi wa Marekani na Ufaransa ambao ni waungaji…

Mkuu wa zamani wa CIA: Republicans ni chama cha siasa hatari zaidi kuliko ISIS, Al Qaeda

Mkuu wa zamani wa CIA: Republicans ni chama cha siasa hatari zaidi kuliko ISIS, Al Qaeda

Mkuu wa zamani wa shirika la ujasusi la Marekani CIA amsema Republicans ni chama hatari zaidi za siasa. Gazeti la New York Post limechapisha makala ya uchambuzi iliyoandikwa na Callie Patterson ambaye amemnukuu mkuu wa zamani wa CIA Michael Hayden akisema, leo Warepublican wamekuwa hatari zaidi kuliko DAESH (ISIS), Al Qaeda na wengineo; wamekuwa watu hatari…

HAMAS: Marekani ni mshirika wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

HAMAS: Marekani ni mshirika wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

Mousa Mohammed Abu Marzook, Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Marekani ni mshirika wa jinai zinazofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina. Mousa Abu Marzook amesema hayo katika radiamali yake kwa taarifa zilizosambaa zinazodai kuweko mawasiliano ya siri ya Marekani…

Ansarullah ya Yemen: Marekani imeua mamilioni ya watu katika maeneo mbalimbali duniani

Ansarullah ya Yemen: Marekani imeua mamilioni ya watu katika maeneo mbalimbali duniani

Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameashiria jinai za Marekani dhidi ya raia katika maeneo tofauti ya dunia na kusema kuwa, Washington imeua mamilioni ya watu katika pembe tofauti ulimwenguni. Hizam al-Assad, mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameandika katika ukurasa wake wa mtandao wa…