Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Asia Magharibi haidhibitiwi tena na Marekani
Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema eneo la Asia Magharibi halidhibitiwi tena Marekani, na kwamba hivi sasa lipo katika mikono ya mataifa ya Waislamu. Hujjatul-Islam Walmuslimin Sayyid Muhammad Hassan Abu Turabi-Fard amesema hayo katika hotuba za Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa Tehran na kuongeza kuwa, “Miito ya baadhi ya watu ya kutaka kuundwa muungano wa…
Sputnik: Marekani inawasajili magaidi wa Daesh ili kuwatuma Ukraine.
Shirika la habari la Sputnik limeripoti kuwa, Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) linawasajili magaidi wa Daesh (ISIS) ili wapelekwe Ukraine kwa kisingizio cha vita nchini humo. Sputnik imeripoti kuwa, shirika la ujasusi la CIA linasajili magaidi wa ISIS katika magereza au maficho yao eneo la Asia Magharibi ili kuwapeleka kupigana Ukraine kama mamluki. Ripoti hiyo inakuja…
China yaitaka Marekani kurekebisha makosa yake mkabala wa Iran
Kwa mujibu wa shirika la habari la Fars, Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya China imesema kuwa Washington, ikiwa ni mwanzilishi wa mgogoro wa nyuklia wa Iran, inapaswa kurekebisha makosa yake na kujibu wasiwasi wa Tehran. Beijing imekuwa ikiilaumu Marekani mara kwa mara kwa hali ya sasa ya miradi ya kuzalisha nishati ya…
Tume ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya Uingereza: Mfumo wa Marekani ni kinyume na haki za binadamu
Mkuu wa Tume ya Haki za Binadamu ya Kiislamu nchini Uingereza (IHRC) amesema kuwa mfumo wa utawala wa Marekani unapinga na kupiga vita haki za binadamu na kusisitiza kuwa, mfumo huo unawadhulumu hata raia wa Marekani kwenyewe. Massoud Shajareh amesema inasikitisha kuona kwamba Marekakni imezifanya haki za binadamu kuwa fimbo na kutangaza kuwa, Washington inatumia haki…
Marekani inadai kuwakamata wadukuzi wanne wa Urusi
Wizara ya Sheria ya Marekani imedai kuwa imewakamata maafisa wanne wa Urusi waliohusika na udukuzi dhidi ya taasisi za nishati kote duniani. Kwa mujibu wa Idhaa ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, Idara ya Sheria ya Marekani siku ya Ijumaa asubuhi (saa za Tehran) ilidai kuwa imewakamata maajenti wanne wa Urusi nchini Marekani…
Urusi yalipiza kisasi kwa kuwatimua wanadiplomasia wa Marekani
Moscow iliwaita wanadiplomasia kadhaa wa Marekani nchini Urusi “kipengele kisichohitajika.”Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani alisema ubalozi wa Marekani mjini Moscow umepokea orodha ya wanadiplomasia ambao Urusi imewaita “kipengele kisichohitajika”. Vyombo vya habari vya Urusi vimeelezea hatua hiyo kama jibu la uamuzi wa mwezi…
Moscow yaidhihaki Marekani: Umesahau kuhusu kulipuliwa kwa Yugoslavia na Iraq!
Balozi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amejibu kauli ya hivi karibuni ya msemaji wa Pentagon kwa kusema kuwa, Washington ilisahau jinsi ya kuishambulia kwa mabomu miji ya Yugoslavia, Iraq na Libya na washirika wake. Kwa mujibu wa shirika la habari la Fars balozi wa Urusi nchini Marekani Anatoly Antonov leo (Jumatano) ametania kujibu ukosoaji…
Russia yaishutumu Marekani kwa kukwamisha Mazungumzo ya Ukraine
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergeĭ Viktorovich Lavrov ameishutumu vikali Marekani kwa siasa zake kuhusu vita vya Ukraine na kusema kuwa, Washington ndiyo inayokwamisha kufikiwa makubaliano baina ya Moscow na Kyiv hata katika masuala madogo kabisa. Amesema, hivi sasa Marekani inawatwisha viongozi wa Ukraine misimamo yake na ndio maana Kyiv inakwamisha kila kitu…