Amnesty International: Marekani inapasa kufuta doa la Guantamano
Sambamba na maadhimisho ya kutimia mwaka wa 21 tangu kuanza kazi gereza la Guantanamo huko katika Ghuba ya Cuba; Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limelaani jinai za miaka 21 katika gereza hilo zilizotekelezwa na Wamarekani. Tarehe 11 Januari mwaka 2002 jela za kijeshi zilizokuwa chini ya ulinzi mkali sana katika kambi ya jeshi la…
UN: Marekani inahatarisha haki za binadamu kwa hatua zake mpakani
Kamishna Mkuu wa haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa Volker Türk, ameonya kuwa mikakati mipya iliyotangazwa na serikali ya Marekani ya kudhibiti au kulinda mipaka yake inadumaza misinig ya kimataifa ya haki za binadamu. Taarifa iliyotolewa Jumtano jijini Geneva, Uswisi na ofisi ya kamishna huyo wa haki za binadamu, OHCRC, imesema haki ya kusaka…
Marekani yaongeza ulinzi kwa viongozi wa serikali ya Trump waliomuua Kamanda Soleimani
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kila mwezi inatumia zaidi ya dola milioni mbili kuwalinda saa 24 Mike Pompeo na Brian Hook, viongozi wa serikali ya Donald Trump waliohusika katika mauaji ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH. Kwa mujibu wa…
Muelekeo wa kiundumakuwili na wenye mgongano wa Marekani kuhusiana na JCPOA
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani Ned Price amesema, hatua ya upande mmoja iliyochukuliwa na serikali ya rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump ya kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni kosa kubwa zaidi la kistratejia lililofanywa katika miaka ya karibuni kwa upande wa sera za nje za Washington….
Ubaguzi washadidisha mgogoro wa ‘afya ya umma’ Marekani
Miji na kaunti zaidi ya 200 nchini Marekani zimeutangaza ubaguzi wa rangi nchini humo kama mgogoro wa afya ya umma. Wataalamu wa afya wameonya kuwa, ubaguzi wa kimfumo wa miongo kadhaa umeendelea kuathiri afya za Wamarekani wasio wazungu. Bodi ya Wasimamizi katika kaunti ya Orange jimboni California mwezi uliopita iliutangaza ubaguzi kuwa mgogoro wa afya…
Maelfu ya wauguzi wafanya mgomo New York, Marekani
Wauguzi zaidi ya 7,000 katika hospitali mbili kubwa jijini New York nchini Marekani wameanza mgomo baada ya mazungumzo yao na serikali kuhusiana na mazingira yao ya kazi, nyongeza ya mishara na sera za wafanyakazi kugonga mwamba. Chama cha Wauguzi Jimboni New York kimetangaza kuwa, mgomo huo katika hospitali mbili kuu za jiji hilo ulianza jana…
Sheikh Naim Qassim: Hujuma za kihabari na kigaidi za Marekani dhidi ya Iran zimegonga mwamba
Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, hujuma za kihabari na kigaidi za Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zilizokuwa zikiendeshwa katika fremu ya machafuko yaliyokuwa yameibuka nchini Iran zimesambaratika na kugonga mwamba. Samahat Sheikh Naim Qassim, Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu…
Mtoto wa miaka 6 ampiga risasi mwalimu wake kwa ‘makusudi’ Marekani
Mtoto wa miaka sita huko nchini Marekani ametiwa mbaroni baada ya kumpiga risasi na kumjeruhi vibaya mwalimu wake katika mji wa Newport News, jimboni Virginia. Mkuu wa Polisi katika mji wa Newport News, Steve Drew amethibitisha habari ya kutokea tukio hilo hapo jana Ijumaa katika shule ya msingi ya Richneck, katika mji wa Newport News, jimboni Virginia, kusini…