Kampuni kubwa ya mafuta ya Marekani yaushtaki Umoja wa Ulaya; kuongezeka hitilafu kati ya pande mbili.
Kampuni kubwa ya mafuta ya Marekani Exxon, ikiwa ni moja ya wauzaji wakubwa wa mafuta katika bara Ulaya, imushtaki Umoja wa Ulaya kwa kuyatoza makampuni ya mafuta ushuru mpya unaojulikana kama “kodi ya malipo kwa mapatano yanayopatikana bila kutoa jasho.” Kodi hiyo mpya inatarajiwa kuanza kutekelezwa tarehe 31 Desemba na itakuwa sawa na asilimia isiyopungua…
Jibu kali la Moscow kwa tishio la Marekani la kumuua Putin
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesema kuwa matamshi ya maafisa wa Marekani katika Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo Pentagon, kuhusu pigo la kukata kichwa cha Kremlin kwa hakika ni tishio la kutaka kumuua kigaidi Rais wa Russia. Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameongeza kuwa Washington imeenda mbali sana…
‘Kimbunga cha Bomu’ chaua watu 28 Marekani, nyumba milioni 1.8 zakosa umeme
Makumi ya watu wamepoteza maisha huku mamilioni ya wengine wakiathiriwa moja kwa moja na kimbunga kikali kilichokumba majimbo kadhaa ya Marekani wakati huu wa msimu wa baridi kali. Maafisa nchini humo wamesema akthari ya vifo 28 vilivyoripotiwa kufikia sasa vimetokana na baridi kali, ajali za barabarani, kuanguka kwa miti na athari nyingine zilizosababishwa na kimbunga hicho kilichopewa jina…
China yaitaka Marekani iache siasa zake za uonevu na ukandamizaji
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa China ameitaka serikali ya Marekani ibadilike na iache kukandamiza maendeleo ya China. Wang Yi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa China amesema kuwa, Marekani haipaswi kuendeleza utaratibu wake wa zamani wa uonevu wa upande mmoja. Wang ameyasema hayo leo katika mazungumzo yake kwa njia ya simu na Antony Blinken…
Kuendelea chokochoko za Marekani katika Rasi ya Korea
Harakati za kijeshi za Marekani na Korea Kusini katika Rasi ya Korea zingali zinaendelea, ambapo katika mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya karibuni zaidi kufanywa na Marekani na Korea Kusini kwenye rasi hiyo, ndege za kivita kadhaa za Marekani zikiwemo za mashambulio ya kimkakati za B-52 na za kushambulia kwa kujificha za F-22 zilipaa katika…
Bashagha awataka Walibya kuchukua msimamo mmoja dhidi ya Marekani
Waziri Mkuu aliyeteuliwa na Baraza la Wawakilishi la Libya lenye makao yake mashariki mwa nchi hiyo ametoa wito wa kuwepo msimamo wa pamoja wa nchi yake dhidi ya Marekani. Ni baada ya maafisa wa serikali za Scotland na Marekani kutangaza Jumapili iliyopita kwamba Mlibya anayetuhumiwa kutengeneza bomu lililosababisha mlipuko wa ndege ya Pan Am kwenye anga…
Kufichuliwa nyaraka mpya za jinai za Israel dhidi ya Wapalestina kwa uungaji mkono wa Marekani
Gazeti la The Guardian limechapisha nyaraka mpya za jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina, jinai ambazo zimefanyika kwa himaya na uungaji mkono wa Marekani. Ripoti ya gazeti la The Guardian imeashiria baadhi ya jinai za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Wapalestina ambazo zinajumuisha kuamiliana vibaya na watoto, kuwatesa mateka, kubomoa nyumba…
UN yapasisha azimio la Russia la kupambana na ubaguzi wa rangi
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeidhinisha azimio lililopendekezwa na Russia la “kupambana dhidi ya kutukuzwa kwa Unazi, Unazi mamboleo na vitendo vingine vinavyochangia kuongezeka kwa aina za kisasa za ubaguzi wa rangi, ubaguzi wa kimbari, chuki ya wageni na kutovumiliana.” Azimio hilo limeidhinishwa kwa kura 120 za ndio, kura 50 za kulipinga na nchi 10…