#marekani

Marekani yampa kinga Muhammad bin Salman kwa mauaji ya Khashoggi

Marekani yampa kinga Muhammad bin Salman kwa mauaji ya Khashoggi

Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imempa kinga Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia ili asishtakiwe kwa mauaji ya Jamal Khashoggi mwandishi habari mkosaji mkuu wa utawala wa Aal Saud. Bin Salman amepewa kinga hiyo licha ya ahadi ya awali ya Rais Joe Biden ya kumwajibisha mtawala huyo wa…

Kuongezeka mawazo ya kutaka kujiua miongoni mwa watoto na vijana wa Marekani

Kuongezeka mawazo ya kutaka kujiua miongoni mwa watoto na vijana wa Marekani

Matokeo ya utafiti uliofanya huko Marekani yanaonyesha kuwa mawazo na fikra za kutaka kujiua zimeongezeka sana kati ya watoto na vijana wa nchi hiyo. Kwa mujibu wa shirika la habari la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, matokeo ya utafiti huo yaliyochapishwa katika jarida la matibabu la Pediatrics yanaonyesha kuwa idadi ya watu wanaolazimika kufika katika…

Wademokrati wapigania kupitisha sheria ya ndoa za jinsia moja kutambuliwa rasmi Marekani

Wademokrati wapigania kupitisha sheria ya ndoa za jinsia moja kutambuliwa rasmi Marekani

Kiongozi wa Wademokrati waliowengi katika Seneti ya Marekani Chuck Schumer ametangaza kuwa Seneti itaupigia kura mswada wa kuunga mkono ndoa za watu wa jinsia moja wiki hii baada ya kufikiwa makubaliano kati ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la nchi hiyo. Tangu mwaka 2015, Mahakama Kuu ya serikali kuu ya Marekani ilitoa hakikisho la kutambuliwa…

Marekani yaongoza orodha ya nchi zinazofanya israfu ya chakula duniani

Marekani yaongoza orodha ya nchi zinazofanya israfu ya chakula duniani

Umoja wa Mataifa umesema jamii ya kimataifa haijachukua hatua za maana za kukomesha utupaji wa chakula majaani, huku Marekani, Australia na New Zealand zikiongoza orodha ya nchi zinazofanya israfu kubwa ya chakula duniani. Rosa Rolle, afisa mwandamizi wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) amesema mataifa ya dunia yaliahidi mwaka 2015…

Marekani yaituhumu Imarati kuwa inaingilia siasa zake

Marekani yaituhumu Imarati kuwa inaingilia siasa zake

Ripoti ya siri iliyotolewa na maafisa wa Idara ya Intelijensia ya Marekani imedai kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu umefanya jitihada kubwa za kujaribu kutatiza na kuvuruga mfumo wa kisiasa wa Marekani. Ripoti hiyo iliyotolewa na Baraza la Taifa la Intelijensia la Marekani imeeleza kuwa, kwa miaka mingi sasa, Imarati imetumia njia za kisheria na…

Trump: Wademokrat wameshinda Seneti kwa kuchakachua

Trump: Wademokrat wameshinda Seneti kwa kuchakachua

Rais wa zamani wa Marekani ametangaza kuwa chama cha Democratic kimeshinda uchaguzi wa Baraza la Seneti kwa udanganyifu katika uchaguzi wa katikati ya muhula uliofanyika hivi majuzi nchini humo. Baada ya Wademokrat kupata ushindi katika uchaguzi wa Seneti na kupata wingi wa kura katika chombo hicho cha kutunga sheria nchini Marekani, Donald Trump, rais wa zamani…

Mwandishi akamatwa kwa kuuliza swali kuhusu silaha za maangamizi za Marekani

Mwandishi akamatwa kwa kuuliza swali kuhusu silaha za maangamizi za Marekani

Swali kuhusu silaha za maangamizi ya umati za Marekani limekuwa sababu ya kukamatwa kwa mwandishi wa habari huko Texas. Marekani ni moja kati ya eti waungaji mkono wakuu wa wazo la Mashariki ya Kati isiyo na silaha za maangamizi ya halaiki, lakini kivitendo, Washington sio tu haijachukua hatua yoyote katika uwanja huu, lbali pia imechukua…

Uchunguzi: Wamarekani wingi weusi hawawezi kushiriki katika chaguzi za Marekani

Uchunguzi: Wamarekani wingi weusi hawawezi kushiriki katika chaguzi za Marekani

Matokeo ya utafiti yanaonyesha kuwa idadi isiyo na kikomo ya raia weusi wa Marekani hawawezi kushiriki katika chaguzi zinazofanyika chini humo. Utafiti wa hivi karibuni zaidi wa taasisi ya “The Sentencing Project” unaonyesha kuwa asilimia 21 ya raia weusi katika jimbo la Tennessee huko Marekani hawawezi kupiga kura katika chaguzi za nchi hiyo. Licha ya juhudi…