#marekani

Sisitizo jingine la Marekani la kuunga mkono vurugu na machafuko nchini Iran

Sisitizo jingine la Marekani la kuunga mkono vurugu na machafuko nchini Iran

Ned Price, msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani ameendelea kuunga mkono vurugu na machafuko nchini Iran na kukana kabisa kuhusika nchi yake katika vurugu hizo. Price amesema kuhusiana na madai ya Rais Joe Biden wa Marekani na matamshi yake ya wazi ya kuingilia masuala ya ndani ya Iran ambayo yamekabiliwa na ulegezaji…

Trump, Warepublican wasema kuna mpango wa kuiba kura za uchaguzi wa katikati ya muhula

Trump, Warepublican wasema kuna mpango wa kuiba kura za uchaguzi wa katikati ya muhula

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump na washirika wake wa mrengo wa kulia katika chama cha upinzani cha Republican tayari wameanza kutilia shaka uhalali wa matokeo ya uchaguzi wa Jumanne wa bunge wa katikati mwa muhula  “Haya twendeni tena! Uchaguzi wa hitilafu!,” CNN ilimnukuu Trump akiwaandikia wafuasi wake milioni 4.43 kwenye mtandao wake wa…

Afisa wa jeshi la Marekani: Karibuni hivi tutaingia kwenye mapigano ya muda mrefu na China

Afisa wa jeshi la Marekani: Karibuni hivi tutaingia kwenye mapigano ya muda mrefu na China

Afisa mwandamizi wa jeshi la Marekani amesema karibuni hivi nchi hiyo itaingia kwenye mzozo na makabiliano ya muda mrefu na China na akatahadharisha juu ya kile alichoeleza kuwa ni kubaki nyuma Washington katika uwezo wa kijeshi mkabala na Beijing. Adimeri Charles Richard, mkuu wa Kamandi ya Kimkakati ya Jeshi la Wanamaji la Marekani, ametahadharisha kuwa,…

Biden apatwa na wahka: Nitauzuliwa iwapo Warepublican watashinda uchaguzi

Biden apatwa na wahka: Nitauzuliwa iwapo Warepublican watashinda uchaguzi

Rais wa Marekani amekiri kwamba atakabiliwa na hatari ya kuitwa bungeni kwa ajili ya kusailiwa na kutimuliwa iwapo Warepublican watachukua udhibiti wa Bunge la Congress katika uchaguzi wa katikati ya muhula. Rais wa Marekani, Joe Biden, amekiri kwamba iwapo Warepublican watashinda uchaguzi huo na kulidhibiti Bunge la Congress Jumanne ya kesho, yumkini akasailiwa na kutimuliwa. Biden ametoa…

DNA yamuokoa Mmarekani mweusi aliyefungwa ‘kimakosa’ miaka 38

DNA yamuokoa Mmarekani mweusi aliyefungwa ‘kimakosa’ miaka 38

Raia mmoja wa Marekani mwenye asili ya Afrika ameachiwa huru baada ya kufungwa jela kwa karibu miongo minne kwa kosa ambalo hakulifanya. Maurice Hastings, 69, aliachiwa huru jana Ijumaa katika jimbo la California , baada ya vipimo vya msimbojeni (DNA) kuonesha kuwa hakuhusika na kosa la mauaji aliyodaiwa kufanya. Ofisi ya Mwanasheria wa Wilaya ya Kaunti ya Los…

Mashtaka rasmi ya Russia kwa Umoja wa Mataifa kuhusu maabara za silaha za kibiolojia za Marekani nchini Ukraine

Mashtaka rasmi ya Russia kwa Umoja wa Mataifa kuhusu maabara za silaha za kibiolojia za Marekani nchini Ukraine

Russia imepeleka malalamiko yake rasmi kwa Umoja wa Mataifa kuhusu kuwepo kwa maabara za silaha za kibiolojia za Marekani nchini Ukraine. Vasily Nebenzia, ​​mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa, amethibitisha kwamba nchi yake imekusanya ushahidi wa kutosha kuhusu uwepo wa maabara ya silaha hizo za kibiolojia za Marekani huko Ukraine. Kwa kutuma…

Mashirika ya kijasusi ya kigeni yakiongozwa na CIA yamehusika na ghasia Iran

Mashirika ya kijasusi ya kigeni yakiongozwa na CIA yamehusika na ghasia Iran

Taarifa ya pamoja ya Wizara ya Intelijensia ya Iran na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imesema mashirika ajinabi ya kijasusi yakiongozwa na Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) yamekuwa na mchango mkubwa katika kupanga na kuratibu ghasia na fujo zilizoshuhudiwa hapa nchini kwa wiki kadhaa. Taarifa hiyo imesema CIA ya Marekani ilikuwa…

Murtadi Salman Rushdie apoteza jicho, apooza mkono baada ya kushambuliwa

Murtadi Salman Rushdie apoteza jicho, apooza mkono baada ya kushambuliwa

Duru moja ya kuaminika imesema kuwa, Salman Rushdie alipata majeraha makubwa katika shambulio la mwezi Agosti na amepoteza uwezo wa kuona jicho lake moja huku mkono wake mmoja nao ukiwa umepooza. Andrew Wylie ameliambia gazeti la lugha ya Kihispania la “El Pais” kwamba Rushdie, ambaye ana umri wa miaka 75, amepata madhara makubwa katika shambuliio…