
Jinai za Saudia nchini Yemen, malengo, radiamali na matokeo yake
Utawala wa kiimla wa Saudi Arabia unaendelea na jinai zake katika nchi ya Waislamu ya Yemen ambapo katika matukio ya hivi karibuni, madola vamizi yakiongozwa na Saudia yameua kwa umati raia wasiopungua 77 wasio na hatia wa Yemen na kujeruhi wengine wapatao 230. Mwaka huu wa 2022 umeanza na ongezeko la jinai za wavamizi wa…