Dar/Mbeya. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali haina mpango wa kukata maeneo kwa kuyapandisha hadhi, badala yake wanajielekeza kwenye utatuzi wa kero za wananchi. Rais Samia alitoa kauli hiyo jana mkoani Mbeya, wakati akizindua mradi wa maji wa Shongo – Mbalizi baada ya kupokea ombi kutoka kwa mbunge wa Mbeya Vijijini, Oran Njeza la kutaka Mbalizi…