Dodoma. Watumishi wawili wa kitengo cha ardhi katika Jiji la Dodoma wamefukuzwa kazi na wengine watano wamesimamishwa kwa kusababisha migogoro ya ardhi. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatano, Julai 6, 2022 jijini Dodoma na Mkurugenzi wa jiji Joseph Mafuru katika kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama cha Mkoa kilipokutana na watumishi wapya wa idara ya ardhi….