#Morogoro

Wanaojifanya mawakala wa freemason wakamatwa

Wanaojifanya mawakala wa freemason wakamatwa

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu 23 kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya utapeli kwa njia ya mtandao. Kukamatwa kwa watu hao ni matokeo ya oparesheni maalum iliyofanywa na kanda hiyo kwa kushirikiana na timu maalumu ya Kuzuia na Kupambana na Uhalifu wa Mtandaoni. Operesheni hiyo iliyofanyika…