Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani (WFP) limetangaza kuwa, litalazimika kusitisha msaada muhimu wa kibinadamu kwa wakazi milioni moja wa jimbo la Cabo Delgado nchini Msumbiji kutokana na ukata wa fedha. Taarifa hiyo imeeza kuwa, shirika hilo litalazimika kusitisha utoaji misaada kwa raia hao endapo halitapokea fedha za nyongeza ifikapo kilele…