#Muqawama

Wanamuqawama watekeleza oparesheni 57 dhidi ya Wazayuni katika saa 24 zilizopita

Wanamuqawama watekeleza oparesheni 57 dhidi ya Wazayuni katika saa 24 zilizopita

Chombo kimoja cha Kizayuni kimetangaza kuwa makundi ya muqawama ya Palestina yametekeleza oparesheni 57 dhidi ya Israel katika saa 24 zilizopita. Kabla ya hapo Wapalestina walikuwa wakipambana na Wazayuni huko kusini mwa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na katika Ukanda wa  Ghaza, lakini  hivi sasa eneo la Ukingo wa Magharibi huko mashariki mwa Palestina limeguzwa na…

Raisi: Uhusiano wa Iran na Syria umejengeka katika misingi ya muqawama

Raisi: Uhusiano wa Iran na Syria umejengeka katika misingi ya muqawama

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uhusiano wa Iran na Syria ni thabiti na kwamba umejengwa katika misingi ya moyo wa muqawama na mapambano ya wananchi wa mataifa haya mawili. Sayyid Ebrahim Raisi alisema hayo jana Jumanne hapa Tehran katika mazungumzo yake na Ali Mahmoud Abbas, Waziri wa Ulinzi wa Syria na kusisitiza kuwa, Tehran…

Ammar Hakim: Kosa la Marekani la kuwauwa makamanda wa muqawama halisameheki

Ammar Hakim: Kosa la Marekani la kuwauwa makamanda wa muqawama halisameheki

Sayyid Ammar Hakim, Kiongozi wa Harakati ya Hikma ya Kitaifa ya Iraq amesema kuwa, kosa la Marekani la kuwauwa makamanda wa ushindi wa muqawama halisameheki. Sayyid Ammar Hakim amesema hayo katika hauli na kumbukumbu ya mwaka tatu wa kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa kamanda wa kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzii wa…

Kan’ani: Sifa za shakhsia ya Shahidi Soleimani zingali zinaiongezea nguvu kambi ya Muqawama

Kan’ani: Sifa za shakhsia ya Shahidi Soleimani zingali zinaiongezea nguvu kambi ya Muqawama

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuhusiana na sifa za shakhsia ya Shahidi Suleimani ya kwamba, sifa za shakhsia ya Shahidi Suleimani zingali zinaiongezea nguvu kambi ya Muqawama. Nasser Kan’ani amesema hayo leo katika meza duara ya mjadala wa kitaalamu wa kuzungumzia namna ya kupambana na ugaidi na misimamo ya kufurutu ada katika eneo…

Wanamuqawama watekeleza oparesheni huko Ukingo wa Magharibi; Wazayuni 2 waangamizwa

Wanamuqawama watekeleza oparesheni huko Ukingo wa Magharibi; Wazayuni 2 waangamizwa

Duru za habari zimeripoti kuwa, wanamuqawama wa Palestina wametekeleza oparesheni dhidi ya Uzayuni karibu na kitongoji kimoja cha walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Gazeti la Kizayuni la Yediot Aharonot limetangaza leo Jumanne kwamba, walowezi wawili wa Kizayuni wameangamizwa na wengine watatu wamejeruhiwa katika oparesheni ya kimuqawama iliyofanywa na kijana Mpalestina…

Kundi la ‘Arin al Usud laapa kuendelea na muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel

Kundi la ‘Arin al Usud laapa kuendelea na muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel

Kundi la mapambano ya Kiislamu la ‘Arin al Usud (Pango la Simba) linaloendesha mapambano yake katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina limesisitiza kuwa, watu wanaodhani kuwa muqawama umeshindwa, wanajidanganya. Kundi la muqawama wa Kiislamu la ‘Arin al Usud lilitangaza uwepo wake mwezi Aprili mwaka huu na kuyataka makundi mengine ya Palestina yaliunge…

HAMAS: Utawala wa Kizayuni umeshindwa kukabiliana na muqawama Ukingo wa Magharibi

HAMAS: Utawala wa Kizayuni umeshindwa kukabiliana na muqawama Ukingo wa Magharibi

Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, jinai za utawala wa Kizayuni za kuwaua kigaidi wanamapambano wa Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan hazitapunguza kasi ya kuimarika muqawama wa wananchi wa Palestina. Jana Jumapili, utawala wa Kizayuni ulimuua kigaidi Tamer al-Kilani, mmoja wa makamanda wa muqawama wanaojulikana kwa jina…

Afungwa jela miezi 13 kwa kuandika sentensi moja ya kuunga mkono Muqawama wa Palestina

Afungwa jela miezi 13 kwa kuandika sentensi moja ya kuunga mkono Muqawama wa Palestina

Mahakama ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel imemhukumu Mpalestina mmoja anayeishi katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu kifungo cha miezi 13 jela kwa kuandika mtandaoni sentensi moja ya kuunga mkono muqawama wa Palestina. Mahakama za utawala wa Kizayuni zinawakamata na kuwaweka kizuizini Wapalestina kwa sababu tofauti na kwa madai mbalimbali hewa na ya uwongo. Kwa mujibu…