#Muqawama

Nasrullah: Makombora ya muqawama yameilazimisha Israel isalimu amri

Nasrullah: Makombora ya muqawama yameilazimisha Israel isalimu amri

Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema maadui Wazayuni wametangaza kuwa wako tayari kufikia makubaliano ya usitishaji vita baada ya makombora na maroketi ya wanamuqawama wa Ukanda wa Gaza kuutiwa kiwewe na wahakama utawala huo wa Kizayuni. Sayyid Hassan Nasrullah amesema hayo jana Jumapili na kuongeza kuwa, “Napongeza uthubutu wa Palestina kujibu mapigo, kwa…

Wazayuni: Jihad al Islami imeweka tayari zaidi ya makombora 3000 yakisubiri kufyatuliwa tu

Wazayuni: Jihad al Islami imeweka tayari zaidi ya makombora 3000 yakisubiri kufyatuliwa tu

Duru za Kizayuni zimedai kuwa, Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina imeweka tayari kwa ajili ya kufyatuliwa makombora zaidi 3000 baada ya kiongozi wake mmoja kukamatwa katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Mapema Jumanne asubuhi, wanajeshi wa utawala wa Kizayuni waliivamia kambi ya wakimbizi ya Jenin na kumuua shahidi Mpalestina mmoja na kumteka…

Jihad Islami yavurumisha makombora Israel baada ya kamanda wake kuuawa

Jihad Islami yavurumisha makombora Israel baada ya kamanda wake kuuawa

Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imevurumisha makombora zaidi ya 100 katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina la Israel ikiwa ni katika kulipiza kisasi hatua ya utawala katili wa Israel ya kumuua kamanda wa ngazi za juu wa harakati hiyo. Jihad Islami imesema makombora hayo yaliyovurumishwa usiku wa kuamkia leo ni hatua ya awali…

Nukta nne za kistratijia katika matamshi ya Sayyid Nasrullah kwa mnasaba wa kuadhimisha miaka 40 ya Hizbullah

Nukta nne za kistratijia katika matamshi ya Sayyid Nasrullah kwa mnasaba wa kuadhimisha miaka 40 ya Hizbullah

Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah, juzi usiku (tarehe 25 Julai) alizungumza na televisheni ya al-Mayadeen kwa mnasaba wa mwaka wa 40 wa kuasisiwa Hizbullah, ambapo nukta kadhaa za kistratijia zilijadiliwa. Jambo la kwanza lilikuwa kwamba Hiizbullah ya Lebanon imejiimarisha katika mlingano wa nguvu. Uwezo huo ni mkubwa kiasi kwamba adui Mzayuni anafahamu…

Wanamuqawama wa Iraq wataka jibu kwa shambulio la Uturuki

Wanamuqawama wa Iraq wataka jibu kwa shambulio la Uturuki

Harakati ya Muqawama ya Asa’ib Ahl al-Haq ya Iraq imelitaka Bunge la nchi hiyo lichukue hatua za kivitendo kujibu mashambulizi ya anga ya Uturuki katika eneo la Kurdistan, lililoua na kujeruhi makumi ya raia. Katika taarifa, kundi hilo la muqawama nchini Iraq limeihutubu Uturuki kwa kusema: Uvamizi, kuendelea kukiuka mamlaka ya kujitawala Iraq, kukalia kwa…

Silaha ya Muqawama, dhamana pekee ya kupata maslahi ya Lebanon katika medani ya gesi ya Karish

Silaha ya Muqawama, dhamana pekee ya kupata maslahi ya Lebanon katika medani ya gesi ya Karish

Jumamosi iliyopita harakati ya Hizbullah ya Lebanon ilirusha ndege tatu zisizo na rubani katika anga eneo lenye utajiri wa gesi la Karish. Eneo hili lina futi za ujazo trilioni 203 za gesi, na utawala wa Kizayuni wa Israel unataka kulidhibiti na kuwa muuzaji wa gesi badala ya mtumiaji tu wa nishati hiyo na kulitumia kama nyenzo…