#Muswada

Kibano kipya kwa wafanyabiashara

Kibano kipya kwa wafanyabiashara

Dodoma/Dar. Muswada wa Sheria ya Fedha ya mwaka 2022 unaoanza kujadiliwa leo umependekeza faini ya Sh100,000 kwa kampuni itakayoshindwa kuwasilisha taarifa za wamiliki wanufaika au kuwasilisha ritani. Adhabu hiyo itakayowahusu pia maofisa wa kampuni husika watakaochangia ucheweleshaji huo, itaenda sambamba na Sh10,000 itakayotozwa kila siku itakayozidi kabla ya kulipwa kwa faini husika. Muswada huo utakaojadiliwa bungeni,…