Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu amesifu misimamo ya Namibia ya kuliunga mkono taifa la Palestina na kusisitizia malengo ya pamoja ya Tehran na Windhoek. Hussein Amir-Abdollahian amesema hayo katika mazunguumzo yake kwa njia ya simu na Bi Netumbo Nandi-Ndaitwah, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Namibia na kueleza matumaini yake ya kuongezwa…
Sanamu la afisa mkoloni wa zamani wa Ujerumani limeondolewa katika mji mkuu wa Namibia, Windhoek kutokana na mashinikizo ya wanaharakati wa nchi hiyo ya Kiafrika. Sanamu la Curt von François, afisa mkoloni wa Ujerumani aliyekuwa na misimamo ya kutatanisha lilisimikwa huko Windhoek mwaka 1965, ili kumuenzi eti kama muasisi wa mji huo. Hata hivyo kwa muda…