Ufunguo wa seli ya gereza ya kisiwa cha Robben alikofungwa Nelson Mandela utarudishwa Afrika Kusini badala ya kupigwa mnada nchini Marekani. Hayo yamesemwa na Waziri wa Utamaduni wa Afrika Kusini, Nathi Mthethwa ambaye alipinga vikali hatua ya Uingereza ya kutaka kuupiga mnada ufunguo huo. Waziri Mthethwa amesema, “ufunguo huo ambao ulipangwa kupigwa mnada New York tarehe 28…