Watu wenye silaha wavamia msikiti Nigeria na kuteka nyara watu 19
Watu wenye silaha wameshambulia msikiti mmoja kaskazini mwa Nigeria na kuwateka nyara watu 19. Kwa mujibu wa vyombo rasmi vya serikali, tangu mwishoni mwa mwaka 2020 hadi sasa, maeneo ya kaskazini-magharibi na katikati mwa Nigeria yamekuwa yakishuhudia ongezeko la mashambulizi ya silaha. Vitendo vya utekaji nyara wa halaiki na aina zingine za uhalifu wa utumiaji nguvu vimeongezeka mno…
Wapiganaji zaidi ya 40 wa Boko Haram waangamizwa Nigeria
Mkurugenzi wa Idara ya Habari ya Wizara ya Ulinzi ya Nigeria ametangaza mapema leo Jumamosi kwamba magaidi 44 wa kundi la Boko Haram wameuawa katika operesheni za anga na nchi kavu za jeshi kaskazini mwa nchi hiyo. Brig.-Gen Musa Danmadami ametangaza kuwa magaidi hao 44 wa Boko Haram waliuawa wiki iliyopita katika operesheni za jeshi la Nigeria…
Watu wenye silaha wateka nyara makumi ya watu Nigeria, 11 wauawa
Watu wenye silaha nchini Nigeria wamewateka nyara takriban watu 80 na kuwaua wengine 11 katika mashambulizi tofauti huko kaskazini-magharibi mwa nchi hiyo. Shirika la habari la Reuters limeripoti habari hiyo na kuwanukuu wakuu wa kimila na wakaazi wameneo hayo wakithibitisha habari hiyo na kuongeza kuwa, katika mashambulizi ya hivi karibuni zaidi ya magenge yenye silaha ambayo…
Nigeria yaomba kuwa na ushirikiano wa kijeshi na Iran
Mwanadiplomasia mstaafu na mzoefu wa Nigeria Babaji Umar Misau amesema, ana matumaini kuwa nchi yake itaendelea kuwa na ushirikiano mzuri na wenye manufaa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambayo rafiki yake wa zamani kama ilivyokuwa kwa miongo mingi. Misau ambaye ni balozi wa zamani wa Nigeria katika nchi za Burkina Faso, Kenya na Somalia, amezungumzia umuhimu…
Msafara wa Rais wa Nigeria washambuliwa, watu kadhaa wauawa
Watu kadhaa wameuawa, huku wengine wakijeruhiwa Jumanne, wakati majambazi waliposhambulia msafara wa walinzi, maafisa wa itifaki na vyombo vya habari, kabla ya safari ya Rais Muhammadu Buhari kufika katika mji alikozaliwa wa Daura, Jimbo la Katsina. Ofisi ya Rais wa Nigeria imetoa taarifa na kuitaja hujuma hiyo ya Jumanne kuwa ni ya kusikitisha. Katika taarifa…
Jeshi la Nigeria laua wabeba silaha 82 jimboni Zamfara
Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuangamiza makumi ya wanachama wa genge moja la wabeba silaha katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa nchi hiyo. Wizara ya Ulinzi ya Nigeria imesema jeshi la nchi hiyo limefanikiwa kuua wanachama 82 wa genge hilo katika operesheni ya mashambulizi ya anga iliyopewa jina la “Hadin Kai”. Taarifa ya…
Hali nchini Nigeria yatarajiwa kua mbaya zaidi endapomsaidizi wa haraka wa hali ya kibinadamu atakosekana
Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa nchini Nigeria ambaye pia ni mratibu wa misaada ya kibinadamu nchini humo Matthias Schmale amesema zaidi ya watu milioni 4.1 kaskazini mashariki mwa nchi hiyo wanahitaji msaada wa haraka wa chakula katika msimu wa mwambo utakao anza hivi karibuni. Akihutubia kikao cha nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa mjini Geneva,…
Wanafunzi warejea nchini Nigeria wakitokea Ukraine huku kesi za maambukizi ya Corona zikiongezeka
Nigeria imetangaza ongezeko la maambukizo ya Covid-19 siku moja baada ya kusajili idadi ndogo zaidi ya kila siku iliyorekodiwa tangu kuanza kwa janga hilo. Siku ya Jumatatu iliyopita Kituo cha Kudhibiti Magonjwa cha Nigeria kilitangaza visa viwili pekee vilivyorekodiwa nchini humo vya maambukizi ya corona. Siku ya Jumanne mamlaka ya afya ilirekodi maambukizo mapya 118 ya…