#oman

Mufti wa Oman: Njama ya Wazayuni ya kuuvamia Msikiti wa Al-Aqsa ni sawa na kutangaza vita

Mufti wa Oman: Njama ya Wazayuni ya kuuvamia Msikiti wa Al-Aqsa ni sawa na kutangaza vita

Mufti wa Oman Shekhe Ahmed bin Hamad al-Khalili amesema, mwenendo ulioanzishwa na baraza la mawaziri la utawala haramu wa Kizayuni lenye misimamo ya kufurutu ada wa kuuvamia Msikiti wa Al-Aqsa unamaanisha kutangaza vita dhidi ya Umma wa Kiislamu. Tangu Wazayuni walipoandaa njama dhidi ya Palestina kuhusiana na eneo takatifu zaidi la kidini la ardhi hiyo yaani msikiti…

Mapitio katika uhusiano wa Iran na Oman; majirani wawili wenye maslahi na mambo mengi ya pamoja

Mapitio katika uhusiano wa Iran na Oman; majirani wawili wenye maslahi na mambo mengi ya pamoja

Kati ya mataifa ya Kiarabu ya Ukanda wa Ghuba ya Uajemi, Oman ni moja ya mataifa ambayo daima yamekuwa na uhusiano thabiti na wa kirafiki na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Taifa la Oman daima limefanya juhudi za kuwa mpatanishi katika masuala yanayohusiana na migogoro ya eneo la Asia Magharibi. Uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu…

Mufti Mkuu wa Oman aunga mkono kususiwa utawala haramu wa Israel

Mufti Mkuu wa Oman aunga mkono kususiwa utawala haramu wa Israel

Mufti Mkuu wa Oman ameunga mkono mpango wa Bunge la nchi hiyo wa kususiwa utawala haramu wa Israel unaotenda jinai kila uchao huko Palestina. Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalili amesisitiza kuwa: Tunaunga mkono muswada wa marekebisho ya kifungu cha 10 cha sheria ya kuharamisha na kupiga marufuku kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel ili…

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono ubunifu wa Oman

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono ubunifu wa Oman

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa Iran imeacha wazi dirisha ili kufikia mapatano lakini dirisha hilo halitasalia wazi siku zote. Amesema Iran inakaribisha na kuunga mkono ubinifu wa Mfalme wa Oman ili kufanyika ufatiliaji kwa lengo la kufikia mapatano mazuri, imara na endelevu. Hossein Amir- Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa…

Bunge la Oman: Kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel ni uhalifu

Bunge la Oman: Kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel ni uhalifu

Baraza la Ushauri la Oman limeikabidhi Kamati wa Kutunga Sheria na Kulinda Haki ya nchi hiyo; muswada wa marekebisho ya kifungu cha 10 cha sheria ya kuharamisha na kupiga marufuku kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel ili upasishwe rasmi. Yaqoob Bin Mohammed bin Khalifa al Harthi, Naibu Spika wa Baraza la Taifa la Ushauri (Bunge)…

Mufti wa Oman awashukuru Waislamu kwa kuwasusia waandishi habari Wazayuni

Mufti wa Oman awashukuru Waislamu kwa kuwasusia waandishi habari Wazayuni

Mufti mkuu wa Oman amewashukuru Waislamu na wale wote ambao wamekataa kuzungumza au kuhojiwa na na waandishi wa habari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wakati wa Kombe la Dunia la 2022 linaloendelea nchini Qatar. Katika chapisho kwenye akaunti yake ya Twitter, Mufti Mkuu wa Oman Sheikh Ahmed Bin Hamad Al-Khalili ametoa shukrani kwa wale…

Msikiti Mkubwa Zaidi wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia Wazinduliwa nchini Oman

Msikiti Mkubwa Zaidi wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia Wazinduliwa nchini Oman

Waziri wa Wakfu Mohammed Said al-Ma’amari na Ayatullah Muhsin Araki, mjumbe wa Baraza Kuu la Hauza (vyuo vikuu vya Kiislamu ) Iran, walikuwa miongoni mwa waliohudhuria hafla hiyo ya uzinduzi. Pia kulikuwa na wanazuoni na maulamaa wa madhehebu ya Shia na Sunni kutoka Oman na nchi nyingine za Kiarabu. Msikiti wa Jami al-Salam huko Muscat…

Oman yasisitizia msimamo wake wa kutoruhusu ndege za Israel kutumia anga yake

Oman yasisitizia msimamo wake wa kutoruhusu ndege za Israel kutumia anga yake

Oman imesisitizia msimamo wake wa kukataa kuruhusu ndege za utawala wa haramu wa Israel kuruka katika anga yake. Wakati Oman ikiendelea kusisitizia msimamo wake huo, gazeti moja ya Kiebrania limedai kwamba, eti mashinikizo ya Iran ndiyo yanayoufanya utawala wa Oman kung’ang’ania msimamo huo. Gazeti la Israel Hayom lilidai katika chapisho lake jana kwamba, msimamo huo…

  • 1
  • 2