#oman

Oman haitafuata nyayo za Saudia za kuruhusu ndege za Israel zitumie anga yake

Oman haitafuata nyayo za Saudia za kuruhusu ndege za Israel zitumie anga yake

Oman imeripotiwa kukataa kuruhusu ndege za utawala wa haramu wa Israel kuruka katika anga yake, ikionekana kujiepusha kufuata nyayo za Saudi Arabia za kujikurubisha wazi wazi na utawala huo haramu. Televisheni ya RT iliripoti Jumatano kwamba Oman bado haijatoa ridhaa yake ya kufungua anga zake kwa mashirika ya ndege ya Israel. Safari za ndege kupitia…

Amir-Abdollahian: Mazungumzo yenye tija yanahitaji Marekani kuwa na nia ya dhati na kuwa tayari kubadilika

Amir-Abdollahian: Mazungumzo yenye tija yanahitaji Marekani kuwa na nia ya dhati na kuwa tayari kubadilika

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema, mazungumzo yenye tija yanategemea upande wa Marekani utakavyokuwa na nia ya dhati, ubunifu na kuwa tayari kubadilika. Amir-Abdollahian ameyasema hayo katika mazungumzo aliyofanya Jumatatu kwa njia ya simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Sayyid Badr Albusaidi ambapo sambamba na…

Rais Samia awasili Oman na kupokewa rasmi na mwenyeji wake, Sultan Haitham bin Tarik

Rais Samia awasili Oman na kupokewa rasmi na mwenyeji wake, Sultan Haitham bin Tarik

Sultan Haitham bin Tariq Aal Said w Oman leo Jumapili amempokea rasmi Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kuwasili nchini humo. Rais Samia yuko katika ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Oman. Uhusiano wa Tanzania na Oman hasa Zanzibar na maeneo ya pwani ya Afrika Mashariki yakiwemo…