#pakistan

Umoja wa Mataifa unasaidia mamilioni ya waathirika wa mafuriko Pakistan

Umoja wa Mataifa unasaidia mamilioni ya waathirika wa mafuriko Pakistan

Mashirika ya Umoja wa Mataifa yanafanya kila juhudi kuhakikisha kwamba, yanawasaidia zaidi ya watu milioni 33 walioathirika na mafuriko nchini Pakistan baada ya mvua kunyesha kwa kiwango kikubwa na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 1200. Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umeeleza kusikitishwa na mafuriko ya Pakistan yaliyosababisha vifo zaidi ya 1200…

Kufanyika kikao cha Kamisheni ya Pamoja ya Kiuchumi ya Iran na Pakistan mjini Islamabad

Kufanyika kikao cha Kamisheni ya Pamoja ya Kiuchumi ya Iran na Pakistan mjini Islamabad

Kikao cha 21 cha Kamisheni ya Pamoja ya Kiuchumi ya Iran na Pakistan kilianza Jumatano ya jana katika mji mkuu wa Pakistan Islamabad ambapo ujumbe wa Iran katika kikao hicho unaongozwa na Rostam Qassemi, Waziri wa Barabara na Ujenzi wa Miji. Katika kikao cha ufunguzi jana asubuhi, maafisa wa Iran na Pakistan walibainisha uhusiano mzuri…

HAMAS yapongeza misimamo ya waziri wa ulinzi wa Pakistan dhidi ya Israel

HAMAS yapongeza misimamo ya waziri wa ulinzi wa Pakistan dhidi ya Israel

Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amepongeza msimamo thabiti ulioonyeshwa na waziri wa ulinzi wa Pakistan dhidi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel. Waziri wa ulinzi wa Pakistan Khawaja Muhammad Asef ameieleza serikali ya Uingereza na waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo kuwa Azimio la Balfour la mwaka…

Pakistan: Kauli ya waziri wa ulinzi wa India kuhusu Kashmir ni ya kichochezi

Pakistan: Kauli ya waziri wa ulinzi wa India kuhusu Kashmir ni ya kichochezi

Wizara ya mambo ya nje ya Pakistan imesema kauli aliyotoa waziri wa ulinzi wa India, kwamba eneo la Kashmir ni milki ya nchi hiyo ni ya kichochezi. Kwa mujibu wa chaneli ya televisheni ya NDTV ya India, waziri wa ulinzi wa India Rajnath Singh, ambaye jana Jumatatu alitembelea eneo la Jamu na Kashmir alidai kwamba, Kashmir iliyo…

Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas alikutana na rais wa Lebanon

Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas alikutana na rais wa Lebanon

Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) alikutana na rais wa Lebanon katika Ikulu ya Baabda. Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas, Ismail Haniya, amekutana leo (Ijumaa) na Rais wa Lebanon Michel Aoun. Haniya alisema baada ya mkutano huo  ” alisisitiza kuwa utawala  haramu unaoukalia kwa mabavu …

Hofu yatanda jeshi likiongeza udhibiti wa umma Pakistan

Hofu yatanda jeshi likiongeza udhibiti wa umma Pakistan

Wanasiasa na wanaharakati nchini Pakistan wameibua hofu kuhusu jeshi kuongeza udhibiti wa umma baada ya waziri mkuu mpya, Shehbaz Sharif kulipatia shirika la kijasusi la ISI mamlaka ya kuhakiki uteuzi wa watumishi wa umma. Hatua hiyo imeweka uhakiki na uchujaji wa maofisa wa serikali wanaosimamia utangazaji, uteuzi na upandishaji vyeo mikononi mwa ISI, na kusababisha…

Kuwa na Tamaa ya Uongozi ,Tamaa nyingi zenye kuharibu : ALLAMA JAWAD NAQVI

Kuwa na Tamaa ya Uongozi ,Tamaa nyingi zenye kuharibu : ALLAMA JAWAD NAQVI

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa chuo kikuu cha Orwatul Wuthqa – Lahore, Jamia Jafaria – Gujranwala) Imetolewa: Masjid Baitul ul Ateeq, Lahore – Pakistan Khutba ya Ijumaa – 17 Juni 2022   Khutbah ya 1: Kuwa na Tamaa ya Uongozi – Tamaa nyingi zenye kuharibu Nawahusieni nyote na kuihusia nafsi yangu mwenyewe…

Waandamanaji wa Pakistan walaani shambulio la kigaidi katika Msikiti Mkuu wa Imamiyah huko Peshawar

Waandamanaji wa Pakistan walaani shambulio la kigaidi katika Msikiti Mkuu wa Imamiyah huko Peshawar

Miji mbalimbali nchini Pakistani ilishuhudia maandamano ya kulaani shambulio la kigaidi dhidi ya waumini Mashia huko Peshawar. Baraza la Umoja wa Waislamu lilifanya maandamano makubwa katika maeneo tofauti ya nchi, hususan katika mji mkuu wa Pakistan, Islamabad, wakilalamikia mauaji yakikatili katika Msikiti Mkuu wa Imamiyah huko Peshawar. Mauaji hayo yalizua hisia na kumbukumbu za msururu…