#palestina

Kuzingirwa Nablus, ishara ya utawala wa Kizayuni kushindwa kuzima mapambano ya Palestina

Kuzingirwa Nablus, ishara ya utawala wa Kizayuni kushindwa kuzima mapambano ya Palestina

Katika kuendeleza harakati zao za chuki dhidi ya Wapalestina, askari wa utawala haramu wa Israel wamekuwa wakiuzingira kwa muda sasa mji wa Nablus, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi wa mji huo. Siku 17 zimepita tangu kuzingirwa mji huo na askari wa utawala unaokaliwa kwa mabavu mji…

Askari wa Israel awasihi vijana Wapalestina Al-Khalil: ‘Basi tena, tutaabani’

Askari wa Israel awasihi vijana Wapalestina Al-Khalil: ‘Basi tena, tutaabani’

Mitandao ya kijamii imesambaza video inayomuonyesha askari mmoja wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel akiwasihi vijana Wapalestina katika eneo la Al-Khalil, Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan wahitimishe muqawama na mapambano dhidi yake yeye na wanajeshi wenzake. Katika video hiyo ambayo imeangaliwa na watu wengi sana, anaonekana askari wa utawala wa Kizayuni akiwataka vijana…

HAMAS: Utawala wa Kizayuni umeshindwa kukabiliana na muqawama Ukingo wa Magharibi

HAMAS: Utawala wa Kizayuni umeshindwa kukabiliana na muqawama Ukingo wa Magharibi

Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, jinai za utawala wa Kizayuni za kuwaua kigaidi wanamapambano wa Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan hazitapunguza kasi ya kuimarika muqawama wa wananchi wa Palestina. Jana Jumapili, utawala wa Kizayuni ulimuua kigaidi Tamer al-Kilani, mmoja wa makamanda wa muqawama wanaojulikana kwa jina…

Afungwa jela miezi 13 kwa kuandika sentensi moja ya kuunga mkono Muqawama wa Palestina

Afungwa jela miezi 13 kwa kuandika sentensi moja ya kuunga mkono Muqawama wa Palestina

Mahakama ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel imemhukumu Mpalestina mmoja anayeishi katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu kifungo cha miezi 13 jela kwa kuandika mtandaoni sentensi moja ya kuunga mkono muqawama wa Palestina. Mahakama za utawala wa Kizayuni zinawakamata na kuwaweka kizuizini Wapalestina kwa sababu tofauti na kwa madai mbalimbali hewa na ya uwongo. Kwa mujibu…

UN: 2022, mwaka wa mauaji zaidi katika ardhi za Palestina katika miaka 16 iliyopita

UN: 2022, mwaka wa mauaji zaidi katika ardhi za Palestina katika miaka 16 iliyopita

Mratibu wa Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa katika Maeneo Yanayokaliwa kwa Mabavu ametangaza katika ripoti yake kwamba mwaka huu wa 2022 ulikuwa mwaka wa umwagaji damu zaidi katika ardhi za Palestina katika kipindi cha miaka 16 iliyopita. Ili kufikia malengo yao ya kujipanua zaidi, Wazayuni wamekuwa wakishambulia maeneo tofauti ya Palestina na kuuawa…

Malalamiko ya Wapalestina dhidi ya kuyahudisha mfumo wa elimu wa Quds

Malalamiko ya Wapalestina dhidi ya kuyahudisha mfumo wa elimu wa Quds

Skuli za Palestina katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu zimeanzisha mgomo jumuishi kwa ajili ya kulalamikia sera za elimu za utawala ghasibu wa Israel pamoja na mpango mchafu wa utawala huo wa kuziyahudisha shule za Kipalestina. Moja ya mikakati michafu ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina ni kufuta utambulisho wao strajia…

Wapalestina wapinga mitaala inayolazimishwa na Israel katika shule za Al-Quds

Wapalestina wapinga mitaala inayolazimishwa na Israel katika shule za Al-Quds

Sheikh Mkuu wa Palestina Sheikh Ekrima Sabri amesema anaunga mkono maandamano ya al-Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu ambayo yameitishwa kupinga mitaala ya elimu ambayo inalazimishwa na utawala haramu wa Israel katika shule za Wapalestina. “Wazazi wa wanafunzi  Wapalestina mjini  al-Quds wana haki ya kuchagua mitaala inayoafikiana na imani, dini, kanuni na mila zao,” amesisitiza Sheikh…

Umoja wa Mataifa waeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya Ukingo wa Magharibi

Umoja wa Mataifa waeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya Ukingo wa Magharibi

Mratibu Maalumu wa Umoja wa Mataifa kwa Ajili ya Amani Mashariki ya Kati amelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya Ukingo wa Magharibi huko Palestina inayokaliwa kwsa mabavu. Ili kufikia malengo yao ya kujitanua zaidi, Wazayuni wamekuwa wakifanya mashambulizi ya kila siku kwenye maeneo tofauti ya Palestina na kuwakamata, kuwajeruhi au kuwaua shahidi Wapalestina kwa madai…