#palestina

Jinai ya utawala wa Kizayuni katika kuishambulia Jihad Islami ya Palestina

Jinai ya utawala wa Kizayuni katika kuishambulia Jihad Islami ya Palestina

Ijumaa alasiri, jeshil la utawala wa kigaidi wa Israel lilitekeleza jinai kubwa dhidi ya Wapalestina kupitia mashambulizi yaliyopewa jina la “Operesheni ya Alfajiri”, katika maeneo yanayodhibitiwa na harakati ya Palestina ya Jihad Islami katika Ukanda wa Gaza. Katika jinai hiyo ya utawala wa Kizayuni, Wapalestina 12 akiwemo mtoto wa miaka 5, pamoja na Taysir al-Jabari,…

Raisi alaani ukatili wa Israel dhidi ya Wapalestina Gaza, IRGC yatoa neno

Raisi alaani ukatili wa Israel dhidi ya Wapalestina Gaza, IRGC yatoa neno

Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel yaliyopelekea kuuawa shahidi na kujeruhiwa makumi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza. Sayyid Ebrahim Raisi amesema hayo leo Jumamosi hapa mjini Tehran na kuongeza kuwa, “Katika jinai zake za jana usiku, utawala wa Kizayuni kwa mara…

Palestina yaongeza kasi ya kampeni ya kupigania uanachama wa kudumu wa Umoja wa Mataifa

Palestina yaongeza kasi ya kampeni ya kupigania uanachama wa kudumu wa Umoja wa Mataifa

Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ya kuomba Palestina kupatiwa uanachama kamili wa umoja huo. Novemba 29, mwaka 2012 Umoja wa Mataifa uliikubali Palestina kuwa mwanachama mtazamaji katika umoja huo. Kwa mujibu wa shirika la habari la Anadolu, Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya…

Wazayuni wavamia msikiti wa al Aqsa na kuwatia nguvuni Wapalestina 12

Wazayuni wavamia msikiti wa al Aqsa na kuwatia nguvuni Wapalestina 12

Jeshi la utawala haramu wa Israel limewatia nguvu Wapalestina 12 sambamba na kundi la walowezi wa Kizayuni kuuhujumu msikiti mtukufu wa al Aqsa, ambacho ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu. Msikiti wa al Aqsa ambao ni nembo kuu ya utambulisho  wa Kiislamu-Kipalestina katika mji wa Baitul Muqaddas umekuwa ukilengwa na hujuma na hatua za uharibifu za…

MwananchiMaoni Na Uchambuzi Tanzania katikati ya mgogoro wa Mashariki ya Kati

MwananchiMaoni Na Uchambuzi Tanzania katikati ya mgogoro wa Mashariki ya Kati

Palestina ni Taifa ambalo limekuwepo kwa muda mrefu lakini haitambuliki kama nchi popote duniani. Jumuiya za kimataifa hazilitambui Taifa hilo ambalo limemezwa na nchi ya Israel na halipo kabisa katika ramani ya uso wa dunia. Ni Taifa ambalo halina serikali yake. Sehemu kubwa ya ardhi yake imetwaliwa na Waisraeli. Umoja wa Mataifa (UN) haulitambui Taifa…

Waislamu wa Tanzania waadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds na kulaani jina za Israel

Waislamu wa Tanzania waadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds na kulaani jina za Israel

Upendo na  na hisia ya Waislamu wa Tanzania kwa Palestina huonekana katika mambo kadhaa moja wapo ni hili hapa. Waislamu nchini Tanzania na wapenda amani katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki leo wameungana na wapigania haki duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani ikiwa ni…

UN yapitisha azimio dhidi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel

UN yapitisha azimio dhidi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel

Umoja wa Mataifa umepitisha azimio linalosisitiza kuwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel hauna haki ya kupora rasilimali za watu wa Palestina na za miinuko ya Golan ya Syria unayoikalia kwa mabavu. Baraza la Kiuchumi na Kijamii la Umoja wa Mataifa (ECOSOC) limepitisha rasimu ya azimio iliyowasilishwa kwa ushirikiano wa Pakistan,- kwa niaba ya kundi…

Wapalestina 21 wauawa, kujeruhiwa na askari wa Israel Ukingo wa Magharibi

Wapalestina 21 wauawa, kujeruhiwa na askari wa Israel Ukingo wa Magharibi

Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi Wapalestina wawili na kujeruhi wengine 19 katika miji ya Nablus na Jenin katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu. Kwa mujibu wa shirika la habari la Ma’an la Palestina, Wapalestina hao wameuawa na kujeruhiwa mapema leo baada ya wanajeshi makatili wa…