Maseneta waitaka serikali ya Biden kuwajibika kuhusu uchunguzi wa mauaji ya Shireen
Maseneta wa chama cha Democratic cha Marekani wameitaka serikali ya Rais Joe Biden wa nchi hiyo kuwajibika kuhusu uchunguzi unaohusu mauaji ya mwandishi wa habari wa Palestina wa televisheni ya Al Jazeera, Shireen Abu Akleh. Ni baada ya Umoja wa Mataifa kumesema kuwa taarifa ulizokusanya zinaonesha kuwa, Shireen Abu Akleh, mwandishi wa habari wa televisheni ya…
Uhusiano wa Mwalimu Nyerere na Palestina
Nyerere alikuwa miongoni mwa viongozi wa kwanza wa Kiafrika kulitambua Shirika la Ukombozi wa Palestina (PLO) chini ya Yasser Arafat na, mwaka 1973, Dar es Salaam ikawa makao ya ubalozi wa kwanza wa PLO barani Afrika. “Kizazi chetu kilikuwa kizazi cha mapambano ya utaifa kwa ajili ya uhuru wa nchi zetu … lakini hali ya…
Mkutano wa kihistoria kati ya Haniyah na Abbas baada ya miaka 15
Ismail Haniyah, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na Mahmoud Abbas, mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, wamekutana baada ya miaka mingi ya uhusiano wa pande mbili kukatika. Tangu 2007, uhusiano kati ya Hamas na Mamlaka ya Ndani ya Palestina umekuwa ukikabiliwa na hitilafu kubwa, kufuatia…
Ukatili ambao Wazayuni wanawafanyia Wapalestina ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa
Mwakilishi wa kudumu wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema, ukatili wa mtawalia na wa kimfumo ambao utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unawafanyia Wapalestina ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa. Katika kuhakikisha unafikia malengo yake ya kujipanua, utawala wa Kizayuni kila siku unavamia maeneo tofauti ya Palestina na kuwaua shahidi, kuwajeruhi au…
Shukrani za makundi ya muqawama, vyama vya Lebanon na Palestina kwa Iran.
Wawakilishi wa ngazi ya juu wa makundi ya mapambano, vyama vya kisiasa vya Lebanon na harakati za mapambano ya ukombozi za Palestina zimeshukuru na kupongeza misaada na uungaji mkono wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Makundi hayo yametoa pongeza na shukrani hizo katika hafla ya kumalizika muda wa kuhudumu balozi wa Iran mjini Beirut. Muhammad…
Hamas: Jamii ya kimataifa ikomeshe uchokozi wa Wazayuni
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeitaka jamii ya kimataifa itekeleze wajibu wake wa kusimamisha hujuma ya Wazayuni katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds (Jerusalem). Taarifa ya harakati ya Hamas iliyotolewa leo kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 55 tangu utawala wa Kizayuni wa Israel ulipolwaa na kughusubu eneo la Quds Mashariki, imetaka kukomeshwa…
Ripoti: Wazayuni wamewaua shahidi watoto 15 wa Kipalestina
Ripoti mpya ya shirika moja la kutetea haki za watoto imesema askari makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi kwa kuwapiga risasi watoto 15 wa Palestina. Shirika hilo la kimataifa la Defense for Children International tawi la Palestina (DCI-P) lenye makao yake mjini Geneva limesema, mbali na watoto 15 wa Kipalestina kuuawa na wanajeshi wa…
Hania: Makombora 150 yatausambaratisha utawala wa Kizayuni chini ya dakika tano
Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameeleza kuwa, msikiti wa al Aqsa unakaribia kukombolewa na kusisitiza kuwa, makombora 150 yatauangamiza utawala wa Kizayuni katika muda wa chini ya dakika tano. Msikiti Mtakatifu wa al Aqsa ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu umegeuzwa kuwa eneo la wanajeshi…