#palestina

Abbas atahadharisha kuhusu uvamizi wa Wazayuni dhidi ya Wakristo wa Palestina

Abbas atahadharisha kuhusu uvamizi wa Wazayuni dhidi ya Wakristo wa Palestina

Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza kuwa kamwe hawatauruhusu utawala wa Kizayuni wa Israel kuwalenga Wakristo katika ardhi za Palestina. Mahmoud Abbas amesema katika hotuba yake kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Nabii Isa Masiih (as) kwa mujibu wa imani ya Wakristo kwamba: “Leo tunakabiliana na vitendo vya wavamizi katika ardhi…

Pigo jingine kwa Israel; Chile kufungua ubalozi wake Palestina

Pigo jingine kwa Israel; Chile kufungua ubalozi wake Palestina

Rais wa Chile, Gabriel Boric amesema nchi hiyo inapanga kufungua ubalozi wake huko Palestina kwa shabaha ya kuongeza kiwango cha uwakilishwaji wake rasmi katika taifa hilo linalokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel. Chile ndiyo nchi yenye idadi kubwa ya Wapalestina nje ya eneo la Asia Magharibi, na tamko hilo la Rais Boric…

Mamia ya nyumba za Wapalestina zimebomolewa tangu kuanza mwaka huu (2022)

Mamia ya nyumba za Wapalestina zimebomolewa tangu kuanza mwaka huu (2022)

Mamia ya nyumba za wananchi wa Palestina zimebomolewa na utawala haramu wa Israel tangu kuanza mwaka huu wa 2022 katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Quds inayokaliwa kwa mabavu. Amir Dawood, afisa wa Kamati ya Muqawama ya kukabiliana na ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni amesema kuwa, mwaka huu unaomalizika wa 2022 ulikuwa…

Amnesty: Israel imefanya ‘jinai ya kivita’ kwa kumtimua mwanaharakati wa Kipalestina

Amnesty: Israel imefanya ‘jinai ya kivita’ kwa kumtimua mwanaharakati wa Kipalestina

Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema hatua ya Israel ya kumfukuza mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu Salah Hammouri, Mfaransa mwenye asili ya Palestina, ni jinai ya kivita. Diana Eltahawy, Naibu Mkurugenzi wa Amnesty International katika eneo la Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika (MENA) amesema, kufukuzwa kwa Salah Hammouri kumeonesha kwa…

Mkuu wa Hamas: Uhalifu wa Israel dhidi ya mfungwa wa Kipalestina aliyekuwa anaugua saratani hautapita bila kuadhibiwa

Mkuu wa Hamas: Uhalifu wa Israel dhidi ya mfungwa wa Kipalestina aliyekuwa anaugua saratani hautapita bila kuadhibiwa

Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Palestina, Hamas, amelaani kifo cha mfungwa wa Kipalestina aliyekuwa anaugua kansa katika jela za Israel na kusema kuwa jinai za utawala huo hazitapita bila kuadhibiwa. Ismail Haniyeh aliyasema hayo katika taarifa siku ya Jumanne, baada ya Nasser Abu Hamid, ambaye alikuwa anasumbuliwa na hali ya…

Zaidi ya wanafunzi 10,000 wahudhuria Mashindano ya Qur’ani huko Palestina

Zaidi ya wanafunzi 10,000 wahudhuria Mashindano ya Qur’ani huko Palestina

Mashindano ya usomaji wa Qur’ani na Tajweed yaliyoandaliwa kwa ajili ya wanafunzi wa shule yamehitimishwa nchini Palestina. Zaidi ya wavulana na wasichana 10,000 wanaosoma katika shule mbali mbali walishiriki katika mashindano hayo. Mashindano hayo yameandaliwa kwa pamoja na Wizara ya Wakfu  ya nchi hiyo na Wizara ya Masuala ya Kidini na Elimu. Walishindana katika kategoria…

Kupitishwa azimio la UN la haki ya watu wa Palestina kuamua hatima yao wenyewe

Kupitishwa azimio la UN la haki ya watu wa Palestina kuamua hatima yao wenyewe

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la haki ya taifa la Palestina ya kujiamulia hatima yake. Tangu mwaka 1948, Palestina imeshuhudia hali iliyopelekea kunyakuliwa eneo lake la kijiografia kwa kadiri kwamba hivi sasa asilimia 85 ya jiografia ya Palestina inakaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel. Sababu kuu ya hali hii…

Utawala wa Israel waogopa kuona bendera ya Palestina ikipeperushwa

Utawala wa Israel waogopa kuona bendera ya Palestina ikipeperushwa

Utawala wa Kizayuni umewakamata waandamanaji watatu waliokuwa wakipeperusha bendera za Palestina katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina la Israel. Kubebwa na kupeperushwa bendera ya Palestina na watu wa nchi mbali mbali duniani katika Kombe la Soka la Dunia la 2022 huko Qatar ni jambo ambalo limeibua hofu na wasi wasi mkubwa…