#palestina

Muqawama: Tutalipiza kisasi cha mauaji ya Wapalestina Nablus

Muqawama: Tutalipiza kisasi cha mauaji ya Wapalestina Nablus

Makundi ya muqawama ya Palestina yamelaani mauaji ya mandugu wawili wa Kipalestina katika mji wa Nablus, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu na Wazayuni. Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesikitishwa na mauaji ya vijana hao wa Kipalestina yaliyofanywa na walowezi wa Kizayuni jana usiku mjini…

Wapalestina elfu 70 waswali Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al -Aqsa

Wapalestina elfu 70 waswali Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al -Aqsa

Zaidi ya Wapalestina elfu 70 jana waliswali Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa al Aqsa. Katika siku za karibuni, msikiti wa al Aqsa umekabiliwa na hujuma na uvamizi wa walowezi wa Kiyahudi ambao waliingia kwenye msikiti huo makundi kwa makundi wakiungwa mkono na kusaidiwa na wanajeshi wa utawala wa Israel. Wazayuni hao wameshadidisha chokochoko na…

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lathibitisha haki ya kujitawala ya Wapalestina

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lathibitisha haki ya kujitawala ya Wapalestina

Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York limepitisha kwa wingi mkubwa wa kura azimio la kuunga mkono haki ya kujitawala ya wananchi wa Palestina. Kwa mujibu wa shirika la habari la Anatolia, Riyadh al-Maliki ameeleza kwamba azimio hilo limepitishwa katika kikao cha…

Israel yawakatia maji Wapalestina wa Ukingo wa Magharibi

Israel yawakatia maji Wapalestina wa Ukingo wa Magharibi

Utawala haramu wa Israel umewafungia maji mamia ya Wapalestina katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Shirika la habari la Palestine al-Yaum limeripoti habari hiyo na kueleza kuwa, jana Alkhamisi askari wa Kizayuni waliharibu bomba pekee la kusambaza maji kwa wakazi wa al-Auja, kaskazini mwa mji wa kale wa Jericho, na hivyo kuwafanya Wapalestina zaidi…

Uchunguzi wa maoni: Hamas ndiyo inayostahili kuongoza Wapalestina

Uchunguzi wa maoni: Hamas ndiyo inayostahili kuongoza Wapalestina

Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanyika Palestina yanaashiria kuenea kwa ufisadi ndani ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina, kupungua sana umaarufu wa mamlaka hiyo na kupanda kwa nyota ya makundi ya wapiganaji wenye silaha kama Hamas na ‘Arin al Usud (Pango la Simba). Matokeo ya uchunguzi huo ambao umefanywa na Kituo cha Utafiti wa Kisiasa na…

PPC: Wanajeshi wa Israel wamewakamata Wapalestina 6,500 wakiwemo watoto 811

PPC: Wanajeshi wa Israel wamewakamata Wapalestina 6,500 wakiwemo watoto 811

Shirika huru na lisilo la kiserikali la kutetea haki za binadamu limesema kuwa, wanajeshi wa Israel wamewatia mbaroni Wapalestina 6,500 wakiwemo mamia ya wanawake na watoto katika eneo lote la Ukingo wa Magharibi linaokaliwa kwa mabavu tangu mwanzoni mwa mwaka huu, huku utawala wa Israel ukiendelea na kampeni yake ya kuwanyanyasa na kuwatia mbaroni Wapalestina….

Wazayuni wawashambulia Wapalestina wakisherehekea ushindi wa Morocco

Wazayuni wawashambulia Wapalestina wakisherehekea ushindi wa Morocco

Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limewashambulia wananchi wa Palestina waliokuwa wamekusanyika kusherehekea ushindi wa Morocco katika mchuano wa robo fainali ya mechi za Kombe la Dunia zinazoendelea kushuhudiwa nchini Qatar. Shirika la habari la Shahab limeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, askari polisi na wanajeshi makatili wa utawala haramu wa Israel jana…

Al Jazeera yawasilisha mashtaka ya mauaji Shireen kwenye mahakama ya kimataifa ya ICC

Al Jazeera yawasilisha mashtaka ya mauaji Shireen kwenye mahakama ya kimataifa ya ICC

Mtandao wa Habari wa Al -Jazeera umetangaza kuwa umewasilisha kesi ya mauaji ya mfanyakazi wake, Shireen Abu Akleh, katika Mahakama ya Jinai ya Kimataifa huko Hague. Hatua hiyo imechukuliwa miezi 6 tangu Shireen Abu Akleh alipouawa kinyama kwa kupigwa risasi na askari wa utawala haramu wa Israel baada ya timu ya masuala ya sheria ya mtandao wa al…