
Mashabiki wa Tunisia wanaunga mkono Palestina wakati wa Mechi ya Kombe la Dunia la 2022
Mashabiki wa Tunisia walipeperusha bendera ya “Palestine Huru” katika dakika ya 48 ya mechi yao ya Kombe la Dunia la Qatar dhidi ya Australia siku ya Jumamosi, wakimaanisha kile kinachojulikana na Waarabu kama Nakba ya 1948 wakati mamia ya maelfu ya Wapalestina walipotimuliwa kutoka nchi yao na wanamgambo wa Kizayuni na baada ya hapo ukanduwa…

Mchezaji tenisi ya mezani Mlebanon agoma kucheza na Mzayuni; aiunga mkono Palestina
Nyota chipukizi wa mchezo wa tenisi ya mezani raia wa Lebanon amejiondoa katika mashindano ya Kombe la Dunia ya Tenisi ya Mezani Kwa vijana Chipukizi (WTT) baada ya kupangwa kumenyana na mchezaji kutoka Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu). Bissan Chiri binti wa miaka 11 kutoka Lebanon amekataa kucheza na mchezaji Mzayuni na kutangaza kuliunga mkono…

Iran yapongeza misimamo ya Namibia ya kuliunga mkono taifa la Palestina
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu amesifu misimamo ya Namibia ya kuliunga mkono taifa la Palestina na kusisitizia malengo ya pamoja ya Tehran na Windhoek. Hussein Amir-Abdollahian amesema hayo katika mazunguumzo yake kwa njia ya simu na Bi Netumbo Nandi-Ndaitwah, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Namibia na kueleza matumaini yake ya kuongezwa…

Utawala dhalimu wa Israel umebomoa zaidi ya skuli 50 za Wapalestina katika mwaka huu
Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na Umoja wa Mataifa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umebomoa zaidi ya skuli 50 za Wapalestina katika mwaka huu wa 2022. Ili kufikia malengo yao ya kujipanua, Wazayuni huvamia kila siku maeneo tofauti ya Palestina na kuwaua shahidi, kuwajeruhi au kuwatia nguvuni Wapalestina wasio na hatia. Kuhusiana na suala hilo,…

Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yaonuya kuhusiana na jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Katibu Mkuuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ameonya kuhusiana na jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina na kueleza kwamba, zitakuwa na matokeo mabaya zaidi. Ahmad Abul-Gheit, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amesema kuwa, ukandamizaji wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina uko…

Mashabiki wa soka waendelea kuiunga mkono Palestina katika Kombe la Dunia
Mashabiki wa soka wanaoshuhudia fainalii za mashindano ya kandanda ya Kombe la Dunia nchini Qatar wameendelea kuonyesha himaya na uungaji mkono wao kwa taifa la Palestina. Mashabiki wa soka wa mataifa mbalimbali wameonekana wakiingia viwanjani kushuhudia mechi mbalimbali za Kombe la Dunia zinazoendelea nchini Qatar wakiwa wamebeba bendera ya Palestina. Katika mechi iliyochezwa jana ya…

Shtayyeh: Serikali mpya ya Israel inajiandaa kutangaza vita dhidi ya Wapalestina
Waziri Mkuu wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema, serikali mpya ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel chini ya uongozi wa wanasiasa wa mrengo wa kulia wenye misimamo ya kufurutu ada inajiandaa kutangaza vita dhidi ya Wapalestina. Kwa mujibu wa shirika la habari la Palestina SAMA, Muhammad Ashtiyeh, amebainisha kuwa mazungumzo ya uundaji baraza la…

UN yaalani mashambulizi ya kinyama ya walowezi na wanajeshi wa Kizayuni huko al Khalil
Umoja wa Mataifa umelaani mashambulizi ya kinyama ya walowezi wa Kizayuni wakishirikiana na wanajeshi wa utawala ghasibu wa Israel huko katika mji wa al Khalil. Wanajeshi na walowezi wa Kizayuni kila siku hushambulia maeneo mbalimbali ya Palestina kwa lengo la kufanikisha malengo yao ya kujitanua na hivyo kuwauwa shahidi, kuwajeruhi na kuwatia mbaroni raia wa…