
Palestina; Bingwa wa mapema wa kombe la dunia la kandanda
Vyombo vya habari vya Qatar vimeitaja Palestina kuwa “mshindi wa mapema” wa Kombe la Dunia. Palestina; “ingawaje Kombe la Dunia la 2022 nchini Qatar bado linaendelea, lakini tayari mshindi wa mapema ashapatikana” . Nchi hii imeiba mioyo na akili za mashabiki wa kandanda duniani.” Haya ni maelezo ya Dima Khatib, mkurugenzi mtendaji wa Al Jazeera…

Mpalestina mmoja auawa na wengine 6 kujeruhiwa kujeruhiwa katika shambulio la Wazayuni mjini (Jenin)
Wanamgambo wa Kizayuni wamemuua mpiganaji mmoja wa muqawama na kuwajeruhi wengine sita katika shambulio lililotokea katika mji wa Yabd, Jenin. Vyombo vya habari vya Palestina viliripoti Alhamisi asubuhi kwamba utawala wa muda wa Kizayuni umeushambulia kinyama mji wa Jenin ulioko kaskazini magharibi mwa nchi hiyo. Wavamizi hao waliweka kizuizi cha kuhama karibu na kituo cha…

Siku ya Kimataifa ya Quds na matukio mapya ya kistratijia katika uwanja wa Palestina
Kama dalili zinavyoonyesha, mwaka huu Wapalestina wataadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds kwa msisimko na shauku maalumu. Huenda ni msisimuko na shauku hiyo ndiyo inayapa maadhimisho ya mwaka huu ya Siku ya Kimataifa ya Quds sifa maalumu na ya kipekee. Inaonekana kuna mambo kadhaa ambayo yameibua msisimko katika uwanja huo. La kwanza ni kuwa katika…