#pamba

Wanunuzi wa pamba kutaifishwa mizani kwa watakaofanya udanganyifu

Wanunuzi wa pamba kutaifishwa mizani kwa watakaofanya udanganyifu

Bariadi. Katibu wa chama cha wanunuzi wa zao la pamba nchini, Boaz Ogola amebariki maamuzi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila ya kuitaifisha mizani itakayofanya udanganyifu katika ununuzi wa pamba msimu huu. Ogola ameyasema hayo leo Juni 30, 2022 katika mahojiano na waandishi wa habari ambapo ameelezea hatua hiyo  kuwa inalenga kuboresha maslahi ya…