#Pele

Rais Samia amlilia Pele, atuma salamu za pole Brazil

Rais Samia amlilia Pele, atuma salamu za pole Brazil

Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameungana wanasiasa na wanasoka kote duniani kuomboleza kifo cha Pele. Rais Samiai ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Brazil, Jair Bolsonaro kufuatia kifo cha aliyekuwa mchezaji nguli wa mpira wa miguu wa nchi hiyo Edson Arantes do Nascimento ‘Pele’ aliyefariki jana akiwa na umri…