#PLO

Mwalimu Julius Nyerere na Kadhia ya Palestina

Mwalimu Julius Nyerere na Kadhia ya Palestina

Mnamo 1973, Dar es Salaam ikawa makao ya ubalozi wa kwanza wa PLO barani Afrika baada ya kukata uhusiano wote wa kidiplomasia na Israeli. Tanzania pia ilikuwa sehemu ya kundi la Mataifa ya Mstari wa Mbele ambayo yaliunda uti wa mgongo wa upinzani dhidi ya utawala wa kibaguzi nchini Afrika Kusini. Nyerere alikuwa miongoni mwa…