#putin

Je ni kipi kilichotokea wakati wa mkutano kati ya Ibrahim Raisi na Vladimir Putin?

Je ni kipi kilichotokea wakati wa mkutano kati ya Ibrahim Raisi na Vladimir Putin?

Katika kikao na Rais wa Iran Ayatullah Sayyed Ibrahim Raisi, Rais wa Russia amesisitiza kuwa: Uhusiano kati ya Moscow na Tehran ni wa kina na wa kistratijia, na nchi hizo mbili ziko katika mawasiliano ya mara kwa mara katika maingiliano ya kisiasa na masuala ya usalama, na nchini Syria wanaukaribu mkubwa wakikazi.” Idhaa ya habari…

Ujumbe maalum kutoka kwa Kim Jong Un kwa Rais Vladimir Putin

Ujumbe maalum kutoka kwa Kim Jong Un kwa Rais Vladimir Putin

Katika salamu za pongezi kwa rais wa Urusi kwa mnasaba wa kuadhimisha siku ya kitaifa ya nchi hiyo, rais wa Korea Kaskazini ameeleza kuwa anaunga mkono kikamilifu nchi ya Urusi. Katika barua yake katika Siku ya Kitaifa ya Urusi siku ya Jumapili, Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un alionyesha uungaji mkono wake kikamilifu kwa…

Putin aionya Ukraine isijaribu kumiliki makombora ya masafa marefu

Putin aionya Ukraine isijaribu kumiliki makombora ya masafa marefu

Rais Vladimir Putin wa Russia ameionya Ukraine kuwa itakabiliwa na mashambulio makali zaidi iwapo itathubutu kupokea makombora ya masafa marefu kutoka nchi za Magharibi. Akiungumza katika mahojiano na Televisheni ya Russia 1 leo Jumapili, Rais Putin ameashiria uwezekano wa Ukraine kupokea makombora ya masafa marefu na kusema: “Iwapo itakabidhiwa makombora hayo, basi tutatumia silaha zetu,…

Putin: Marekani inapandisha bei ya nishati duniani

Putin: Marekani inapandisha bei ya nishati duniani

Rais wa Urusi ailaumu Marekani kwa kupanda kwa bei ya nishati duniani, akisema nchi zisizo rafiki hazitimizi makubaliano yao na Moscow. Kulingana na Huduma ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars.Rais wa Urusi Vladimir Putin siku ya Jumatano alisema kuwa Marekani ndiyo ya kulaumiwa kwa kupanda kwa bei ya nishati ulimwenguni. “Nchi zisizo rafiki…

Amerika, EU Wawinda Mabinti Wa Rais Putin

Amerika, EU Wawinda Mabinti Wa Rais Putin

AMERIKA na Muungano wa Mataifa ya Ulaya (EU) sasa zinalenga mabinti wa kiongozi wa Urusi Vladimir Putin katika juhudi za kumshinikiza kuondoa majeshi yake nchini Ukraine. Kulingana na ripoti zilizochapishwa Jumatano katika majarida ya Wall Street Journal na Bloomberg, Amerika na EU zinalenga kuwekea vikwazo vya kiuchumi mabinti hao; Maria Vorontsova na Katerina Tikhonova kufuatia hatua ya baba yao,…

Biden: Iwapo Rais Vladimir Putin wa Russia atatumia silaha za kemikali Marekani itajibu hatua hiyo

Biden: Iwapo Rais Vladimir Putin wa Russia atatumia silaha za kemikali Marekani itajibu hatua hiyo

Rais Joe Biden wa Marekani ametangaza kuwa iwapo Rais Vladimir Putin wa Russia atatumia silaha za kemikali na kusababisha uharibifu mkubwa huko Ukraine Marekani itajibu hatua hiyo. Biden ambaye alikuwa mjini Brussels, Ubelgji, Alhamisi usiku alizungumza na vyombo vya habari ambapo akijibu swali la mwandishi habari wa Associated Press kwamba je, Marekani ina ushahidi wa uhakika…