Kamanda wa Kikosi cha Quds cha IRGC alisema:Leo hii, ikiwa kauli mbiu ni kuifikia Quds Tukufu na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu tutafika, na lengo hili ni lengo lenye uhakika. Na lengo letu kuu katika hatua hii ni kuifikia serikali ya ulimwengu ya Hazrat Mahdi (as) na kufikia uwepo wenye baraka wa Imamu wa Zama,…
Katika taarifa hiyo iliyotolewa Ijumaa, wizara ya mambo ya nje ilisema kitendo cha jinai cha Washington kumuua Jenerali Soleimani ni mfano wa shambulio la kigaidi ambalo lilipangwa na kuendeshwa na utawala wa wakati huo wa Marekani na sasa ni jukumu la Ikulu ya Marekani. “Chini ya viwango vya kimataifa na kisheria, serikali ya Marekani ina…