
Mashtaka rasmi ya Russia kwa Umoja wa Mataifa kuhusu maabara za silaha za kibiolojia za Marekani nchini Ukraine
Russia imepeleka malalamiko yake rasmi kwa Umoja wa Mataifa kuhusu kuwepo kwa maabara za silaha za kibiolojia za Marekani nchini Ukraine. Vasily Nebenzia, mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa, amethibitisha kwamba nchi yake imekusanya ushahidi wa kutosha kuhusu uwepo wa maabara ya silaha hizo za kibiolojia za Marekani huko Ukraine. Kwa kutuma…

Russia: Marekani na Ulaya zinataka kuwafanya walimwengu waghafilike na kadhia ya Palestina
Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Marekani na Ulaya ndio wahusika wakuu wa kushadidi mgogoro wa Palestina. Vasily Nebenzya, Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa, umewadia wakati sasa kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuchuukua hatua za kurekebisha hali…

Berlusconi amlaumu Rais Zelensky kwa vita vya Ukraine
Waziri Mkuu wa zamani wa Italia, Silvio Berlusconi amesema Rais Volodymyr Zelenskiy wa Ukraine ndiye aliyemsukuma kwenye vita Rais Vladimir Putin wa Russia. Shirika la habari la LaPresse la Italia limevujisha sauti ya Berlusconi akiwaambia Wabunge wa nchi hiyo ya Italia kuwa, “Putin hakutaka kuingia vitani, lakini alisukumwa kufanya hivyo kutokana na Ukraine kuendelea kufanya mashambulizi…

Ugiriki: Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia vimetudhuru wenyewe
Waziri Mkuu wa Ugiriki amesema kuwa, vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Moscow vimetoa pigo la kiuchumi kwa nchi zenyewe za Ulaya kabla ya hata Russia. Shirika la habari la FARS limemnukuu Kyriakos Mitsotakis akisema hayo jana mbele ya waandishi wa habari na kuongeza kuwa, nchi za Magharibi zimekumbwa na madhara mengi kwa hatua yao…

Rais Putin: Vikwazo vya Magharibi dhidi ya Russia ni hatari kwa ulimwengu wote
Rais Vladmir Putin wa Russia ameshutumu vikwazo vilivyowekwa na madola ya magharibi dhidi ya Russia akisema ni hatari kwa dunia nzima. Putin ameyasema hayo wakati wa hotuba yake kwenye Kongamano la Uchumi la Mashariki katika mji wa bandari wa Mashariki ya Mbali wa Vladivostok leo Jumatano, na kuongeza kuwa madola ya Magharibi yamehujumu uchumi wa…

Russia: Mashambulizi dhidi ya Syria yamefichua undumakuwili wa Magharibi
Balozi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amelaani vikali mashambulio haramu ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria na kusisitiza kuwa, hujuma hizo zimefichua sura halisi ya Wamagharibi likija suala la haki za binadamu. Vasily Nebenzia amesema hayo katika hotuba yake kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kuongeza kuwa, “Israel…

Wanachama kadhaa wa Umoja wa Ulaya wapinga vikwazo dhidi ya Russia
Waziri wa Mambo ya Nje wa Poland amesema kuwa, kuna wanachama kadhaa wa Umoja wa Ulaya wanapinga vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Russia. Shirika la habari la Sputnik limemnukuu Péter Szijjártó akisema hayo na kuongeza kuwa, Poland haina hata hamu ya kuzungumzia vikwazo zaidi vya Magharibi dhidi ya Russia hususan linapokuja suala la mafuta…

Azimio la Ukraine dhidi ya Russia katika Umoja wa Mataifa lapingwa na nchi nyingi
Rasimu ya azimio la Ukraine la kutaka Russia ilaaniwe katika Umoja wa Mataifa limegonga mwamba baada ya kupingwa na aghalabu ya nchi za dunia. Azimio hilo limeungwa mkono na nchi 58 pekee kati ya nchi zote 193 wanachama wa Umoja wa Mataifa ikiwa ni idadi ndogo sana ikilianganishwa na nchi ambazo ziliunga mkono Kiev mwezi…