#russia

Kwa mara nyingine Ujerumani yafeli kupata gesi ya kufidia ile ya Russia

Kwa mara nyingine Ujerumani yafeli kupata gesi ya kufidia ile ya Russia

Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, kwa mara nyingine serikali ya Ujerumani imefeli katika juhudi zake za kutafuta gesi ya kufidia ile ya Russia. Huko nyuma vyombo hivyo vya habari viliripoti kufeli Ujerumani kununua gesi ya Qatar na sasa hivi vimeripoti kufeli tena baada ya kushindwa kuingiza nchini humo gesi kutoka Canada. Jana Jumatano shirika la…

Russia: Tutazipiga na chini sarafu za dola na euro kwa kushirikiana na waitifaki wetu

Russia: Tutazipiga na chini sarafu za dola na euro kwa kushirikiana na waitifaki wetu

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, Moscow inaimarisha ushirikiano wake wa kiuchumi na nchi marafiki zake na kwamba ina uhakika kwa ushirikiano huo itaweza kuziangusha sarafu za dola na euro kwani sarafu hizo ni sumu. Kwa mujibu wa ripoti ya leo Jumamosi ya shirika la habari la IRNA, Alexander Pankin amesema hayo…

Russia yaonya juu ya uwezekano wa kuvunja uhusiano na Marekani

Russia yaonya juu ya uwezekano wa kuvunja uhusiano na Marekani

Afisa mmoja katika wizara ya mambo ya nje ya Russia ameonya kuwa uhusiano wa nchi hiyo na Marekani unaweza ukafika kwenye “nukta isiyoweza kurudishika nyuma” na mbaya zaidi kuliko ya hivi sasa. Alexander Darchiev, mkuu wa idara ya Amerika Kaskazini katika wizara ya mambo ya nje ya Russia amesema, ikiwa Seneti ya Marekai itapitisha mipango inayolenga…

Waziri wa mambo ya nje wa Russia aendelea na ziara yake Afrika kwa kuitembelea Uganda

Waziri wa mambo ya nje wa Russia aendelea na ziara yake Afrika kwa kuitembelea Uganda

Waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergey Lavrov amewasili nchini Uganda akiendelea na zaira yake katika nchi kadhaa za Afrika. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Russia. Akiwa jijini Kampala, Lavrov amelakiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe na mwenzake wa Uganda…

Baada ya kutimuliwa Russia, shirika la uhajiri wa Mayahudi kuhamishiwa Israel

Baada ya kutimuliwa Russia, shirika la uhajiri wa Mayahudi kuhamishiwa Israel

Sambamba na kushadidi mivutano katika uhusiano wa Russia na Israel, duru za habari zimeripoti kuwa shirika la uhajiri wa Mayahudi limeandaa mpango wa siri wa kuhamishia Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) ofisi yake iliyokuweko mjini Moscow. Gazeti la Jerusalem Post limezinukuu duru za kuaminika zikiripoti kuwa kufuatia uamuzi wa Russia wa kuifunga ofisi ya shirika la…

Russia yaidhinisha mfumo wa benki za Kiislamu kukabiliana na vikwazo

Russia yaidhinisha mfumo wa benki za Kiislamu kukabiliana na vikwazo

Sheria mpya inaandaliwa nchini Russia ambayo itasimamia benki za Kiislamu nchini humo katika jitihada za kuvutia wawekezaji kutoka nchi za Kiislamu ili kukabiliana na vikwazo ambavyo benki za nchi hiyo zimewekewa na Wamagharibi. Gazeti la kila siku la Kirusi la Kommersant limeripoti kwamba huduma za Kiislamu za kifedha zitatolewa katika fremu ya Mashirika ya Ubia…

Iran, Russia na China kushiriki katika mazoezi ya kijeshi Amerika ya Kusini

Iran, Russia na China kushiriki katika mazoezi ya kijeshi Amerika ya Kusini

Iran, Russia na China zinapanga kushiriki katika mazoezi ya kijeshi yatakayoandaliwa na Venezuela ili kuonyesho nguvu zao kwa Marekani. Maneva hayo ya kijeshi yanafuatia yale yaliyoandaliwa na Iran yakishirikisha majeshi ya majini ya China na Russia kwa anwani ya “Ukanda wa Amani wa Baharini 2022” katika eneo la kaskazini mwa Bahari ya Hindi. Mazoezi mbalimbali ya kimbinu…

Russia yaharibu mifumo ya makombora ya Marekani nchini Ukraine

Russia yaharibu mifumo ya makombora ya Marekani nchini Ukraine

Jeshi la Russia limetangaza habari ya kusambaratisha mifumo miwili ya makombora aina ya HIMARS ya Marekani mashariki mwa Ukraine. Wizara ya Ulinzi wa Russia imesema vikosi vya nchi hiyo jana Jumatano vilifanikiwa kuharibu mifumo hiyo miwili ya makombora ya kisasa karibu na medani ya vita katika kijiji kimoja kilichoko katika mji wa Kramatorsk, eneo la Donetsk. Igor…