
Sputnik: Marekani inawasajili magaidi wa Daesh ili kuwatuma Ukraine.
Shirika la habari la Sputnik limeripoti kuwa, Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) linawasajili magaidi wa Daesh (ISIS) ili wapelekwe Ukraine kwa kisingizio cha vita nchini humo. Sputnik imeripoti kuwa, shirika la ujasusi la CIA linasajili magaidi wa ISIS katika magereza au maficho yao eneo la Asia Magharibi ili kuwapeleka kupigana Ukraine kama mamluki. Ripoti hiyo inakuja…

Jeshi la Russia laondoka katika Kisiwa cha Nyoka, Ukraine
Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema kuwa Moscow imeondoa vikosi vyake vyote kwenye Kisiwa cha Nyoka cha Ukraine kwenye Bahari Nyeusi ili kuonyesha nia njema. Taarifa ilitotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema kwamba, leo tarehe 30 Juni, vikosi vya jeshi la Shirikisho la Russia, kwa nia njema, vimekamilisha majukumu yao kwenye Kisiwa cha Nyoka na…

Raisi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaitambua Bahari ya Kaspi kuwa bahari ya amani na urafiki
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika Mkutano wa Sita wa Nchi za Pwani mwa Bahari ya Kaspi kuwa: Iran inaitambua bahari hiyo kuwa ni bahari ya amani na urafiki na kiunganishi cha watu wa eneo hili. Sayyid Ebrahim Raisi amesisitiza kuwa Iran iko tayari kwa ajili ya ushirikiano wa pande zote kwa…

Ebrahim Raisi akutana na Vladimir Putin, Ashgabat
Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo anakutanza na mwenzake wa Russia Vladimir Putin katika kikao kitakachofanyika katika mji mkuu wa Turkmenistan, Ashgabat. Kwa mujibu wa taarifa mshauri wa rais wa Russia katika sera za kigeni Yuri Viktorovich Ushakov amesema Rais Putin leo atashiriki katika kikao cha viongozi wa Nchi za Pwani ya…

Marais wa Iran na Russia wanakutana leo Ashgabat
Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo anakutana na mwenzake wa Russia Vladimir Putin katika kikao kitakachofanyika katika mji mkuu wa Turkmenistan, Ashgabat. Kwa mujibu wa taarifa mshauri wa rais wa Russia katika sera za kigeni Yuri Viktorovich Ushakov amesema Rais Putin leo atashiriki katika kikao cha viongozi wa Nchi za Pwani ya…

Idara ya Ulinzi ya Uingereza: Waukraine wabomoa madaraja baada ya kurejea nyuma
Wizara ya Ulinzi ya Uingereza, imeeleza kua kilomita 90 ya mstari wa mbele wa vita kati ya vikosi vya Kirusi na Kiukreni ziko magharibi mwa Mto Siversky Donetsk na kusema kua kuvuka kwa Warusi kwenye mto huu ni uamuzi bora na muhimu. Baada ya kukiri kuwa jeshi la Ukraine lilikuwa limejiondoa kutoka mstari wa mbele…

Madai ya London: Urusi inalenga kupenya ndani kabisa ya jimbo la Donetsk
Wizara ya Ulinzi ya Uingereza ilidai kuwa jeshi la Ukraine lilikuwa likipinga hatua ya Urusi kusonga mbele, na kusema kua Moscow ilikuwa ikijaribu kuiteka Sverodontsk. Wakati huo huo Waziri wa Ulinzi wa Urusi akitangaza kwamba vikosi vyake vinasonga mbele mashariki mwa Ukraine na kuchukua udhibiti wa maeneo 15 muhimu, London ilidai kwamba Warusi walikuwa wakijaribu…

Putin: Tumeizuia Ulaya kuivamia Russia kwa kuanzisha oparesheni ya kijeshi Ukraine
Rais Vladimir Putin wa Russia ametetea oparesheni za kijeshi ambazo nchi yake ilianzisha dhidi ya Ukraine na kusema ilibidi afanye hivyo kwani nchi za Ulaya zilikuwa zinapanga kuishambulia Russia kijeshi. Putin ameyasema hayo katika hotuba wakati wa gwaride la kila mwaka la Siku ya Ushindi katika Medani Nyekundu mjini Moscow leo Jumatatu kwa munasaba wa…