#russia

Mazungumzo ya Russia na Ukraine mjini Belarus hayajulikani hatima yake

Mazungumzo ya Russia na Ukraine mjini Belarus hayajulikani hatima yake

Televisheni ya taifa ya Russia imetangaza kuwa duru ya kwanza ya mazungumzo kati ya wajumbe wa nchi hiyo na Ukraine imemalizika nchini Belarus, lakini haijafahamika iwapo mazungumzo hayo yataendelea au la. Mazungumzo yana lengo la kuzima moto wa vita vilivyoanza Alkhamisi iliyopita kati ya nchi hizo mbili. Awali mkuu wa timu ya mazungumzo ya Russia huko…

Usambazaji wa silaha 10,000 na maagizo ya uhamasishaji wa raia

Usambazaji wa silaha 10,000 na maagizo ya uhamasishaji wa raia

Maafisa wa Ukraine wanasambaza bunduki kwa raia, na mapigano makali yanaendelea katika baadhi ya miji ya mpakani. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Fars ; Takriban ndani ya masaa 18 baada ya kuanza kwa operesheni maalum ya kijeshi ya Urusi katika eneo la Denbas, maafisa wa Ukraine walisambaza bunduki kwa raia, na…

Zelensky atoa wito kwa Putin wazungumze

Zelensky atoa wito kwa Putin wazungumze

Rais wa Ukraine alimtaka mwenzake wa Urusi wakae kwa ajili ya mazungumzo. Katika ujumbe wa video uliotumwa kwenye chaneli yake ya Telegram, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelinsky alimwalika mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin, kwa ajili ya kufanya mazungumzo. Zelensky alinukuliwa na Sputnik ; “Ninataka kumwomba Rais wa Shirikisho la Urusi kwa mara nyingine tena tukae…

Watu 137 wauawa katika siku ya kwanza ya vita vya Ukraine

Watu 137 wauawa katika siku ya kwanza ya vita vya Ukraine

Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amesema kuwa, watu 137 wameuawa katika siku ya kwanza tu ya vita vya Russia nchini mwake. limemnukuu Zelenskyy akisema hayo mapema leo Ijumaa na kuongeza kuwa, tangu vilipoanza vita vya pande zote za Russia dhidi ya nchi yake, watu 137 wameshauawa na 306 wamejeruhiwa katika kipindi cha chini ya masaa…

Mambo yalivyo nchini Ukraini, huku Urusi ikiwa na shughuli maalum mashariki mwa nchi hiyo

Mambo yalivyo nchini Ukraini, huku Urusi ikiwa na shughuli maalum mashariki mwa nchi hiyo

Katika kujibu ombi la usaidizi wa kijeshi kutoka kwa viongozi wa eneo linalotaka kujitenga la mashariki mwa Ukraine, rais wa Urusi aliamuru operesheni maalum kwenye eneo hilo linaloitwa Donbas. Rais wa Urusi Vladimir Putin ameamuru Jeshi la Urusi kuanzisha operesheni maalum katika eneo la Donbas; Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilisema katika taarifa yake kwamba…

Putin aliamuru jeshi la Urusi kuingia mashariki mwa Ukraine

Putin aliamuru jeshi la Urusi kuingia mashariki mwa Ukraine

Ikulu ya Kremlin imetangaza kuwa rais wa Urusi ameitaka Wizara ya Ulinzi ya Urusi kutia saini makubaliano na mikoa ya Donetsk na Luhansk iliyoko mashariki mwa Ukraine ili kutuma wanajeshi kulinda amani katika maeneo hayo. Kwa mujibu wa Huduma ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, baada ya uamuzi wa Rais wa Urusi Vladimir…