#samia_suluhu

Rais Samia aeleza Anna Mkapa alivyomuingiza katika siasa

Rais Samia aeleza Anna Mkapa alivyomuingiza katika siasa

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amebainisha kwamba Anna Mkapa, mke wa Rais mstaafu, Hayati Benjamin Mkapa, ndiye aliyemfanya aingie kwenye siasa. Rais Samia amebainisha hayo leo Jumatatu Juni 27 jijini Dar es Salaam wakati akihitimisha kilele cha maadhimisho ya miaka 25 ya kuanzishwa kwa Mfuko wa Fursa Sawa Kwa Wote (EOTF) ulioanzishwa Juni 1997….

Rais Samia aridhia nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3

Rais Samia aridhia nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia mapendekezo ya kuongeza mishahara ikiwemo kima cha chini kwa watumishi wa umma kwa asilimia 23.3, ambapo Sh1.59 trilioni itatumika kwa ongezeko hilo. Taarifa iliyotolewa leo Mei 14 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus inasema mapendekezo hayo ni mwendelezo wa kikao cha Waziri Mkuu, Kassim…

Samia aeleza mkakati kupunguza makali ongezeko bei ya mafuta

Samia aeleza mkakati kupunguza makali ongezeko bei ya mafuta

Dar es Salaam; Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza mkakati wa kubana matumizi ya Serikali katika bajeti ya matumizi ili kupata fedha za kupunguza makali ya ongezeko la bei ya mafuta linalosababisha kuongezeka kwa bei za bidhaa na huduma nchini. Rais Samia ameyasema hayo leo Jumatatu Mei 9, 2022 katika taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya habari…

Rais Suluhu Atangaza Siku Mbili Za Maombolezo Ya Kibaki

Rais Suluhu Atangaza Siku Mbili Za Maombolezo Ya Kibaki

RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametangaza siku mbili za maombolezo nchini humo kufuatia kifo cha Rais wa Tatu wa Kenya Mwai Kibaki. Maombolezo hayo ya kitaifa yanaanza leo Ijumaa Aprili 29 hadi Jumamosi 30, 2022. Kwenye taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Rais Alhamisi, Aprili 28, Rais Suluhu aliwaomba Watanzania waungane na Kenya kuomboleza Hayati…

Suluhu Azindua Filamu Amerika ili Kuimarisha Utalii Nchini Tanzania

Suluhu Azindua Filamu Amerika ili Kuimarisha Utalii Nchini Tanzania

RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua filamu yake inayolenga kuvutia watalii nchini Tanzania. Filamu hiyo inayojulikana kama Royal Tour, itazinduliwa Jumatatu, Aprili 18 jijini New York. Rais Suluhu aliondoka Tanzania Alhamisi jioni kuelekea Amerika kwa ajili ya uzinduzi huo. Filamu hiyo pia itazinduliwa jimboni Los Angeles, Amerika Aprili 21 na jijini Dar es Salaam nchini…

Rais Samia ataka mwelekeo mpya wa majeshi

Rais Samia ataka mwelekeo mpya wa majeshi

Rais Samia Suluhu Hassan ameliagiza Jeshi la Magereza kuhakikisha askari wake waliopanda vyeo kuendelea kutekeleza majukumu yao na kuacha tabia ya kurundikana ofisini pasipokuwa na kazi. Amesema hayo leo Ijumaa Machi 25, 2022 katika uzinduzi na uwekaji wa mawe ya msingi kwenye miradi ya makao makuu ya Magereza Dodoma “Haina maana kama mtu ana cheo…