#san’aa

San’aa: UAE isubiri jibu chungu na la kuumiza

San’aa: UAE isubiri jibu chungu na la kuumiza

Mjumbe wa timu ya mazungumzo ya Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) unapaswa kusubiri jibu chungu na la kuumiza, na kwamba ni jambo la kawaida kujibu vitisho. Abdul Malik al-Ajri amesema: “Utangulizi wa hatua ya Imarati kuingilia masuala ya ndani ya nchini Yemen ulianza pale Wamarekani walipopata yakini…