#saudi_arabia

Saudia yasema inajaribu kufanya mazungumzo na Iran ili kupunguza taharuki

Saudia yasema inajaribu kufanya mazungumzo na Iran ili kupunguza taharuki

Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Mwanamfalme Faisal bin Farhan Al Saud anasema ufalme huo unajaribu kutafuta njia ya mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama njia bora ya kutatua tofauti, huku kukiwa na mchakato wa kidiplomasia kati ya majirani hao wawili unaolenga kurekebisha uhusiano uliodorora. Akizungumza katika jopo katika Jukwaa la…

Mashirika ya haki za binadamu yatangaza mshikamano na wahanga wa ukandamizaji Saudi Arabia

Mashirika ya haki za binadamu yatangaza mshikamano na wahanga wa ukandamizaji Saudi Arabia

Mashirika 10 ya kutetea haki za binadamu yametangaza himaya na uungaji mkono wao kwa wahanga wa ukandamizaji nchini Saudi Arabia hususan wanaharakati, wafungwa wa kiitikadi na shakhsia wenye taathira katika jamii. Taarifa ya pamoja ya mashirika hayo likiwemo Amnesty International na Human Rights Watch imeelezwa kusikitishwa kwake na kuendelea ukandamizaji dhidi ya wanaharakati nchini Saudia….

Biashara ya bidhaa za Iran yazidi kunawiri nchini Saudi Arabia

Biashara ya bidhaa za Iran yazidi kunawiri nchini Saudi Arabia

Usafirishaji nje wa bidhaa za Iran kuelekea nchini Saudi Arabia umestawi hivi sasa baada ya kuanza mazungumzo baina ya nchi hizi mbili za Waislamu. Hayo yametokea baada ya biashara baina ya pande mbili kuzorota kwa miaka kadhaa. Kwa mujibu wa shirika la habari la Tasnim, Sayyid Rohollahi Latifi, mjumbe wa Kamati ya Kimataifa na Biashara…

Kuendelea kukandamizwa wanawake nchini Saudi Arabia

Kuendelea kukandamizwa wanawake nchini Saudi Arabia

Wanaharakati 35 wa kike wa Saudi Arabia wamehukumiwa kifungo cha miaka 11 jela ikiwa ni muendelezo wa ukandamizaji unaofanywa na ukoo wa Aal Saud dhidi ya wanawake. Saudi Arabia ni miongoni mwa nchi zenye historia mbaya sana ya uvunjaji wa haki za wanawake duniani. Takwimu zinaonesha kuwa, utulivu na usalama kwa wanawake wa Saudia ulikuwa…

Miaka saba tangu kunyongwa Ayatullah Sheikh Nimr Baqi al-Nimr mwanazuoni mtajika wa Saudi Arabia

Miaka saba tangu kunyongwa Ayatullah Sheikh Nimr Baqi al-Nimr mwanazuoni mtajika wa Saudi Arabia

Ayatullah Sheikh Nimr Baqi al-Nimr alikuwa mwanazuoni mahiri na mtajika wa eneo la Qatif mashariki mwa Saudi Arabia ambaye kwa kuunga mkono maandamano ya amani ya eneo hilo alikuwa akitaka kukomeshwa ubaguzi dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia, na wakati huo huo kufanyike mageuzi katika mfumo wa kisiasa wa nchi hiyo. Utawala wa Saudia…

UN: Thuluthi moja ya Waarabu wanaishi katika umaskini

UN: Thuluthi moja ya Waarabu wanaishi katika umaskini

Taasisi ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa, thuluthi moja ya jamii ya Waarabu wanaishi katika hali ya umaskini na uchochole wa kupindukia. Kamisheni ya Uchumi na Jamii ya Asia Magharibi (ESCWA) imesema, ongezeko la umaskini katika nchi za Kiarabu litawaathiri watu zaidi ya milioni 130, na kwamba thuluthi moja ya Waarabu wanaishi chini ya mstari wa umaskini….

Hatimaye Ronaldo ajiunga na timu ya Al Nassr ya Saudi Arabia

Hatimaye Ronaldo ajiunga na timu ya Al Nassr ya Saudi Arabia

Mchezaji mahiri wa soka Cristiano Ronaldo amejiunga na klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia kwa mkataba utakaodumu hadi 2025. Nahodha huyo wa Ureno ni mchezaji huru baada ya kuondoka Manchester United kufuatia mahojiano yenye utata ambapo aliikosoa klabu hiyo. Ronaldo ambaye amewahii kushinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia mara tano anaripotiwa kupokea mshahara…

Ripoti: Mwaka 2022 umeshuhudia jinai kubwa zaidi katika historia ya Saudi Arabia

Ripoti: Mwaka 2022 umeshuhudia jinai kubwa zaidi katika historia ya Saudi Arabia

Mwaka huu unaomalizika wa 2022 unaelezwa kuwa, umeshuhudia ukiukaji wa haki za binadamu na jinai kubwa zaidi katika historia ya Saudi Arabia. Ripoti ya Kanali ya Televisheni ya al-Alam iliyotolewa leo inaeleza kuwa, katika mwaka huu unaomalizika wa 2022 nchini Saudia kumeshuhudiwa ukiukaji mkubwa zaidi wa haki za binadamu, jinai na utekelezaji wa hukumu za…