#saudi_arabia

Kuweko utumwa mamboleo nchini Saudi Arabia

Kuweko utumwa mamboleo nchini Saudi Arabia

Gazeti la Times la Uingereza limeripoti kuwa, utumwa mamboleo ungalipo nchini Saudi Arabia licha ya maonyo ya asasi na jumuiya za kimataifa. Katika ripoti yake inayozungumzia uwepo wa utumwa mamboleo, kazi za kulazimishwa na ubakaji nchini Saudi Arabia, gazeti la Times limeandika kuwa, baadhi ya wafanyabiashara haramu ya binadamu nchini Saudi Arabia wanawaadhibu wafanyakazi wao…

Times: Utumwa mamboleo bado upo nchini Saudi Arabia

Times: Utumwa mamboleo bado upo nchini Saudi Arabia

Gazeti la Times la Uingereza limeripoti kuwa utumwa mamboleo ungalipo nchini Saudi Arabia licha ya maonyo ya taasisi za kimataifa. Katika ripoti yake inayozungumzia uwepo wa utumwa mamboleo, kazi za kulazimishwa na ubakaji nchini Saudi Arabia, gazeti la Times limeandika kuwa, baadhi ya wafanyabiashara haramu ya binadamu nchini Saudi Arabia wanawaadhibu wafanyakazi wao kwa kuwapiga…

Amir-Abdollahian: Saudi Arabia iko tayari kuendeleza mazungumzo na Iran

Amir-Abdollahian: Saudi Arabia iko tayari kuendeleza mazungumzo na Iran

Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Saudi Arabia iko tayari kuendeleza mazungumzo na Tehran. Hussein Amir-Abdollahian amesema hayo katika ujumbe wake kwenye mtandao wa kijamii wa twitter ambapo ameeleza mazungumzo aliyofanya na mawaziri wa mataifa mbalimbali pambizoni mwa mkutano wa Baghdad-2 uliofanyikka huko Amman mji mkuu wa Jordan….

Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Saudi Arabia; kipaumbele cha Netanyahu katika sera zake za kigeni

Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Saudi Arabia; kipaumbele cha Netanyahu katika sera zake za kigeni

Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel aliyepewa jukumu la kuunda baraza jipya la mawaziri la Israel amegusia katika mahojiano aliyofanyiwa na Shirika Rasmi la Habari la Saudia kuhusiana na uhusiano wa Riyadh na Tel-Aviv. Netanyahu amewahi kuwa Waziri Mkuu wa utawala bandia wa Israel kuanzia 2009-2021 mtawalia na katika kipindi hicho alichukua…

Mmoja wa wakurugenzi wa Twitter ahukumiwa kifungo kwa kuifanyia ujasusi Saudi Arabia

Mmoja wa wakurugenzi wa Twitter ahukumiwa kifungo kwa kuifanyia ujasusi Saudi Arabia

Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Marekani imepelekea kuhukumiwa mmoja wa wakurugenzi wa zamani wa mtandao wa kijamii wa Twitter kifungo cha miaka mitatu na nusu jela kwa tuhuma za kufanya ujasusi kwa manufaa ya Saudi Arabia. Wawakilishi wa Ofisi ya Mwendesha Mashtaka huyo walikuwa wameomba kifungo cha miaka saba jela dhidi ya Abu Amu kwa…

Kuvunja rekodi ya kunyonga Saudi Arabia katika uongozi wa Bin Salman

Kuvunja rekodi ya kunyonga Saudi Arabia katika uongozi wa Bin Salman

Mtandao wa Mirat al-Jazeera umetangaza kuwa, utawala wa Saudi Arabia umetoa hukumu ya mwisho ya wafungwa watano kwa sababu za kiitikadi. Chombo hicho cha habari kimenukuu duru moja na kutangaza kuwa, utawala wa Riyadh umetoa hukumu ya kunyongwa Muhammad Ali al-Shiqaq, Mansur Samir al-Haik, Marzouk Muhammad Dhaif Aal Fadhl na Raad Muhammad Dhaif Aal Fadhl….

Safari ya Rais wa China nchini Saudi Arabia

Safari ya Rais wa China nchini Saudi Arabia

Rais Xi Jin Ping wa China ambaye amefanya ziara nchini Saudi Arabia mbali na kusaini mapatano ya pamoja ya ushirikiano wa kimkakati, amesaini pia hati 34 za mapatano kwa lengo la kustawisha ushirikiano wa kiuchumi na uwekezaji kati ya nchi mbili. Rais Xi Jin Ping ametathmini umuhimu wa ziara yake nchini Saudi Arabia na kueleza…

Saudi Arabia: Tunaendeleza mazungumzo na Iran kwa ajili ya kukurubisha uhusiano

Saudi Arabia: Tunaendeleza mazungumzo na Iran kwa ajili ya kukurubisha uhusiano

Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia amesema kuwa, mazungumzo baina ya Iran na nchi yake yana matarajio mazuri na kwamba, nchi yake itaebndeleza mazungumzo na Tehran kwa jili ya kukutrubisha uhusiano. Mnamo mwaka 2016, Saudi Arabia ilivunja uhusiano wake wa kidiplomasia na Iran kwa kisingizio cha kushambuliwa ubalozi wake mjini Tehran na ubalozi…