Saudia yalaumiwa vikali kuruhusu tamasha la Halloween na kuvunja heshima ya Haramaini
Kusambazwa picha za tamasha la kishetani la “Halloween” katika mji mkuu wa Saudi Arabia Riyadh kwa usaidizi na uungaji mkono wa Bodi ya Burudani ya nchi hiyo kumeibua wimbi la hasira kali na kauli za kejeli kwenye mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa tovuti ya habari ya Falastin al-Yaum, watumiaji wa mitandao ya kijamii wameandika…
Mageuzi ya Bin Salman huko Saudi Arabia ni ya uongo na bandia
“Rima bint Bandar Al Saud”, balozi wa Saudi Arabia nchini Marekani, alitangaza karibuni katika mahojiano na CNN, kwamba mageuzi ya Saudi Arabia ni ya kweli na kwamba ufalme huo umechukua hatua katika miaka mitano iliyopita ambayo ilikuwa haijafanyika katika miaka 80 iliyopita Katika kujibu matamshi hayo, Shirika la Haki za Kibinadamu la Ulaya-Saudia limetaja mageuzi…
Kuongezeka mara 6 kiwango cha talaka nchini Saudi Arabia
Kiwango cha talaka na wanandoa kuachana kimeongeza mno nchini Saudi Arabia katika miaka ya hivi karibuni na kutishia mustakabali wa familia nyingi katika nchi hiyo inayoongozwa kwa mfumo wa kifalme wa kifamilia. Takwimu zinaonyesha kuwa, matukio saba ya talaka na kuachana wanandoa hushuhudiwa kila baada ya saa moja nchini Saudi Arabia. Aidha kwa mujibu wa…
Netanyahu: Kama si msaada wa Saudia tusingeweza kupatana na Waarabu
Waziri Mkuu wa zamani wa utawala haramu wa Israel amesema kuwa, kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya Israel na baadhi ya nchi za Kiarabu kumefanikiwa kwa mwafaka na baraka za Saudi Arabia. Benjamin Netanyahu amesema: “Jambo la kwanza ninalopaswa kukiri ni kwamba Saudi Arabia ilianza kutekeleza mpango wa kuanzishwa uhusiano baina ya Israel na nchi za…
Bin Salman akaribishwa kwa maandamano nchini Uingereza
Makumi ya watetezi wa haki za binadamu wamefanya maandamano nje ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini London, kulaani safari ya Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman nchini Uingereza. Wananchi wa Uingereza pamoja na wakosoaji wa Saudia walioko London wameshiriki maandamano hayo ya kukosoa safari ya Bin Salman nchini humo, ambaye wanasema rekodi nyeusi…
Wayemen walivyojiimarisha kwa nguvu za kijeshi kuzuia adui asijusuru kuanzisha mashambulio
Wakati mwaka wa nane wa vita vilivyoanzishwa na muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen ukiwa unaendelea kupita, Wayemen wanazidi kuongeza nguvu na uwezo wao wa kijeshi wa kumzuia adui asithubutu kuanzisha mashambulio dhidi ya nchi hiyo. Mwaka wa nane wa vita ulivyoanzisha muungano wa Saudia dhidi ya Yemen umeambatana na kuanza usitishaji vita uliopendekezwa…
Yemen: Tuna uwezo wa kupiga popote katika maji yanayoizunguka nchi yetu
Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa, nchi hiyo ina uwezo wa kupiga na kushambulia katika sehemu yoyote ya maeneo ya majini yaliyoko karibu na Yemen. Televisheni ya Almasirah imetangaza habari hiyo leo Ijumaa na kumnukuu Mahdi al Mashat akisema hayo wakati wa gwaride kubwa la kijeshi lililofanyika kwenye mkoa wa al Hudaidah…
Yemen yaahidi kushambulia vituo vya mafuta vya Saudia endapo itaendelea kuiba mafuta yao
Ofisa wa ngazi ya juu wa Yemen ameonya kuwa, vikosi vya jeshi la Yemen vitashambulia vituo vya mafuta ndani kabisa ya Saudi Arabia, iwapo muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Riyadh utaendelea kupora mafuta wa Wayemen. Mohammad Tahir Anam, mshauri wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema vikosi vya Yemen havitakaa kimya na kuruhusu…